Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
US sehemu nyingi sana, pound for pound ya mjengo, nyumba ni rahisi kuliko Mbezi Beach,halafu nyumba zina huduma zote za jamii, zimamoto,shule za maana, barabara nzuri, maji ya uhakika, ummeunaokatika labda mara moja kwa mwaka, Amazon delivery, Netflix, broadband internet, Wi-Fi to the last tooth etc.Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.
Kumbe bora ununue US, afu utulie tu
Tatizo Kangi Lugola atakudai mkataba wa kazi hata kama bilionea wa Arusha unataka kutembea uone dunia.