AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.

Kumbe bora ununue US, afu utulie tu
US sehemu nyingi sana, pound for pound ya mjengo, nyumba ni rahisi kuliko Mbezi Beach,halafu nyumba zina huduma zote za jamii, zimamoto,shule za maana, barabara nzuri, maji ya uhakika, ummeunaokatika labda mara moja kwa mwaka, Amazon delivery, Netflix, broadband internet, Wi-Fi to the last tooth etc.

Tatizo Kangi Lugola atakudai mkataba wa kazi hata kama bilionea wa Arusha unataka kutembea uone dunia.
 
alafu watu wengi watafikiri AY hela kapatia kwenye malipo ya kesi ya Tigo kumbe jamaa kitambo mfukoni yuko vizuri...

ukitaka kumjua jamaa kiundani kuna ile YATCH inakodishwaga kule slip way na fanya research yako vizuri kuhusu mwekezaji wa kisiwa cha mbudya pamoja na viboti vya kwenda mbudya kutokea whitesand hapo ndio utajua AY ni don kitambo.. hadi wenzake huwa wanamuita EL Chapo au senator wa mbudya sababu ya mfuko kutuna
Hizo hela alipatia kwenye huu huu mziki wa kibongo or alikuwa na ishu zingine?
 
Inategemea na unapotaka, lakini sehemunyingi sana unapata.

Kwa hesabu za leo za interest rate ya Google dola mojani sh 2,286.30

1,000,000,000 / 2,286.30 = $ 437,388.

Mwaka 2007 nilinunua nyumba nzuri tu ya kupangisha watu New York City kwa bei iliyopita kidogo tu hiyo. Na mpaka leo zipo za bei kama hiyona hata pungufu, kutegemea na unapotaka kukaa.

Kwa sasa bei ya wastani ya nyumba Marekani ni $217,300, ni kama nusu ya hiyo hela.

Kwa hivyo, kwa nusu ya hiyo hela, unaweza kununua nyumba sehemu nyingi tu Marekani.

Kama unatafuta nyumba za new developments kwa mfano, sehemu zisizo katikatiya majiji makubwa,unaweza kupata townhouse yenye levels 3, basement, main floor yenye living rooms 2 na jiko, na upper floor yenye vyumba vitatu ikiwemo master bedroom, na vyumba viwili vyenye bafu na choo tofauti. Najua haya kwa sababu niliendakutembelea rafiki zangunje kidogo ya Philadelphiaupande wa New Jersey, kuna sehemu nzuri sana (good neighborhood, good school systems, clean environment, no Lukuvi etc) walikuwa wanauza townhouse yao kwa bei hiyo around $220,000.
Hiyo nyumba uliyonunua till now si unapangisha? Imesharudisha gharama zako ulizoinunulia mkuu?

Kingine naomba kujua miji korofi marekani especially kwa black kuishi or kutembelea
 
Kuna mtu alimwagika povu humu kuwa mama ake remmy ni mrwanda ila baba mtanzania ila walikorofishana na mama remmy so mama remmy akawa anaishi huko bukoba baadae akaolewa na kigogo wa juu serikali ya kagame. So akina remmy wamelelewa sana na baba mrwanda kuliko mtanzania. A.Y awe mjanja la sivyo mbelen atarudi na kusifia alikua na ndoto za kuzeekea bongo alone[emoji23][emoji23]
Shost hebu nipe details za bidada remmy....mi nilisikia kasomea uinjinia tu mengine sijui!
 
Kuna mtu alimwagika povu humu kuwa mama ake remmy ni mrwanda ila baba mtanzania ila walikorofishana na mama remmy so mama remmy akawa anaishi huko bukoba baadae akaolewa na kigogo wa juu serikali ya kagame. So akina remmy wamelelewa sana na baba mrwanda kuliko mtanzania. A.Y awe mjanja la sivyo mbelen atarudi na kusifia alikua na ndoto za kuzeekea bongo alone[emoji23][emoji23]
Duuuh...wanasema babaake ni mwarabu koko wa huko bukoba....nasikia ile familia ilimnyali mama Remy mpakaa!

Unamaanisha remmy anaweza kumkimbia siku akiishiwa?
 
Hiyo nyumba uliyonunua till now si unapangisha? Imesharudisha gharama zako ulizoinunulia mkuu?

Kingine naomba kujua miji korofi marekani especially kwa black kuishi or kutembelea
Mkuu unataka uhamieko siku za karibuni nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwenye pesa sio mwenzio,wasingemuweza mama remmy

Ndo hivyo,mambo uzungu uzungu. Hivi kwann hawakufungia kanisani wakaenda beach ukute ndoa ya mkataba ile(hapa naikumbuka ndoa ya flav matata sijui iliishia wapi)
Duuuh...wanasema babaake ni mwarabu koko wa huko bukoba....nasikia ile familia ilimnyali mama Remy mpakaa!

Unamaanisha remmy anaweza kumkimbia siku akiishiwa?
 
Back
Top Bottom