US sehemu nyingi sana, pound for pound ya mjengo, nyumba ni rahisi kuliko Mbezi Beach,halafu nyumba zina huduma zote za jamii, zimamoto,shule za maana, barabara nzuri, maji ya uhakika, ummeunaokatika labda mara moja kwa mwaka, Amazon delivery, Netflix, broadband internet, Wi-Fi to the last tooth etc.Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.
Kumbe bora ununue US, afu utulie tu
Shost hebu nipe details za bidada remmy....mi nilisikia kasomea uinjinia tu mengine sijui!Daah chezea mrwanda hataki kuvuta pumzi ya bongo.
AY? Ndo akaenda kununua gheto yuesiei?Kuna mpunga alipiga kwa mahakama kuamuru Tigo wamlipe bilion ngap sijui
Oooh kumbe kweli? Walimlipa billion ngapi tigo?Pesa ya kesi. Safi sana.
[emoji23] [emoji2] [emoji2] umenikumbusha yule dogo aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahaha
Kuna mmoja kufika dar akaanza kuomba godoro na sufuria
Na atafute kazi sasa kule.... Maana maisha ni gharama sanaSasa si inategemea nyimbo ni ya nani? Mana nyingi wameshitikishana
Nani alilipia wakili?
Ela ndefu ile, zinatosha kununua Appartment marekani.
Vyumba vitatu na sebule kwa USd 600k unapata
Ok mkuu umenifungua....lkn kununua nyumba kule kapunguza gharama kweli kweliJamaa aliowa Mnyarwanda. Mnyarandwa bila ela hapo hajaolewa, na alivyoona mziki wake unadorora kaona bora aende kubeba mabox ulaya
Hizo hela alipatia kwenye huu huu mziki wa kibongo or alikuwa na ishu zingine?alafu watu wengi watafikiri AY hela kapatia kwenye malipo ya kesi ya Tigo kumbe jamaa kitambo mfukoni yuko vizuri...
ukitaka kumjua jamaa kiundani kuna ile YATCH inakodishwaga kule slip way na fanya research yako vizuri kuhusu mwekezaji wa kisiwa cha mbudya pamoja na viboti vya kwenda mbudya kutokea whitesand hapo ndio utajua AY ni don kitambo.. hadi wenzake huwa wanamuita EL Chapo au senator wa mbudya sababu ya mfuko kutuna
Kama nakumbuka vizuri Tigo wali appeal ile kesi, kama ni hivyo hajalipwa bado.Oooh kumbe kweli? Walimlipa billion ngapi tigo?
Hiyo nyumba uliyonunua till now si unapangisha? Imesharudisha gharama zako ulizoinunulia mkuu?Inategemea na unapotaka, lakini sehemunyingi sana unapata.
Kwa hesabu za leo za interest rate ya Google dola mojani sh 2,286.30
1,000,000,000 / 2,286.30 = $ 437,388.
Mwaka 2007 nilinunua nyumba nzuri tu ya kupangisha watu New York City kwa bei iliyopita kidogo tu hiyo. Na mpaka leo zipo za bei kama hiyona hata pungufu, kutegemea na unapotaka kukaa.
Kwa sasa bei ya wastani ya nyumba Marekani ni $217,300, ni kama nusu ya hiyo hela.
Kwa hivyo, kwa nusu ya hiyo hela, unaweza kununua nyumba sehemu nyingi tu Marekani.
Kama unatafuta nyumba za new developments kwa mfano, sehemu zisizo katikatiya majiji makubwa,unaweza kupata townhouse yenye levels 3, basement, main floor yenye living rooms 2 na jiko, na upper floor yenye vyumba vitatu ikiwemo master bedroom, na vyumba viwili vyenye bafu na choo tofauti. Najua haya kwa sababu niliendakutembelea rafiki zangunje kidogo ya Philadelphiaupande wa New Jersey, kuna sehemu nzuri sana (good neighborhood, good school systems, clean environment, no Lukuvi etc) walikuwa wanauza townhouse yao kwa bei hiyo around $220,000.
Sasa zimeshuka zzzzzz....nimeona ghorofa linauzwa mpaka million 200 bado limekosa wateja!Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.
Kumbe bora ununue US, afu utulie tu
Shost hebu nipe details za bidada remmy....mi nilisikia kasomea uinjinia tu mengine sijui!
Ooooh ok mkuuKama nakumbuka vizuri Tigo wali appeal ile kesi, kama ni hivyo hajalipwa bado.
Duuuh...wanasema babaake ni mwarabu koko wa huko bukoba....nasikia ile familia ilimnyali mama Remy mpakaa!Kuna mtu alimwagika povu humu kuwa mama ake remmy ni mrwanda ila baba mtanzania ila walikorofishana na mama remmy so mama remmy akawa anaishi huko bukoba baadae akaolewa na kigogo wa juu serikali ya kagame. So akina remmy wamelelewa sana na baba mrwanda kuliko mtanzania. A.Y awe mjanja la sivyo mbelen atarudi na kusifia alikua na ndoto za kuzeekea bongo alone[emoji23][emoji23]
Iv AY ni mzaramo?hongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
Mkuu unataka uhamieko siku za karibuni nini!Hiyo nyumba uliyonunua till now si unapangisha? Imesharudisha gharama zako ulizoinunulia mkuu?
Kingine naomba kujua miji korofi marekani especially kwa black kuishi or kutembelea
Duuuh...wanasema babaake ni mwarabu koko wa huko bukoba....nasikia ile familia ilimnyali mama Remy mpakaa!
Unamaanisha remmy anaweza kumkimbia siku akiishiwa?
Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.