mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Hiyo nyumba uliyonunua till now si unapangisha? Imesharudisha gharama zako ulizoinunulia mkuu?
Kingine naomba kujua miji korofi marekani especially kwa black kuishi or kutembelea
Dah mimi Mtu wa Geita nadhani unajua wakazi wa huko ni kabila gani.Hahahaaa Mkurya au Mjaluo wewe?
Nishacheck sana hizo cities like Baltimore, Birmingham Alabama, Atlanta, Detroit n.k... Sasa basi wakatokea wakazi wa huko wakawa wana pinga hiyo figure kuwa ni false! Nikashindwa niamini lipi?Isharudisha kitambo tu.
Kuhusu miji yenye ukorofi, imeandikwa hapa
Top 100 most dangerous places to live in the USA - NeighborhoodScout
Top 100 Most Dangerous Cities in the U.S.
Our research reveals the 100 most dangerous cities in America with 25,000 or more people, based on the number of violent crimes per 1,000 residents. Violent crimes include murder, rape, armed robbery, and aggravated assault. Data used for this research are 1) the number of violent crimes reported to the FBI to have occurred in each city, and 2) the population of each city.
Crime data we use are the most recent data the FBI classifies as ‘Final, non-preliminary.’ It is the most up-to-date and fully vetted data with complete national coverage that is available. We insist on using Final, Non-Preliminary data for our analyses and analytics, rather than basing our research on preliminary data that may need to be updated or have errors in it.
The FBI releases these data approximately 10 months after the close of a calendar year. For example, our 2018 list is based on the 2016 year total data which was released in Final, Non-Preliminary form in September, 2017. The 2017 year total crime data is not complete. The FBI is still working through data issues and reporting issues before that data can be considered Final, and Non-Preliminary.
For more information, see our FAQ on how we rank the most dangerous cities in America.
Kwa wakwe zangu hapo IsibaniaDah mimi Mtu wa Geita nadhani unajua wakazi wa huko ni kabila gani.
Wewe ni Nyako au?
Mimi Mchagga 100%Dah mimi Mtu wa Geita nadhani unajua wakazi wa huko ni kabila gani.
Wewe ni Nyako au?
Isbania wanakula Miraa.Kwa wakwe zangu hapo Isibania
Nitakutafuta Baadae, Nipo Kibosho.Mimi Mchagga 100%
Wakazi wenyewe wanaijua miji yao, wanajua wapi pa kwenda, wapi si pa kwenda.Nishacheck sana hizo cities like Baltimore, Birmingham Alabama, Atlanta, Detroit n.k... Sasa basi wakatokea wakazi wa huko wakawa wana pinga hiyo figure kuwa ni false! Nikashindwa niamini lipi?
That's y nimekuuliza wewe unayeshuhudia na kuishi huko!
Na kwanini hiyo miji niliyoitaja ndo kuna blacks kibao to compare na miji ya wakazi wa kizungu like Texas?
haiwezi kuwa mziki jamaa ana mishe nyingi sana sema ndio hivyo kuzijua kazi sababu ya usiriHizo hela alipatia kwenye huu huu mziki wa kibongo or alikuwa na ishu zingine?
Oooh kumbe kweli? Walimlipa billion ngapi tigo?
Ipo siku na Mimi ntadondoka USA babyKaribu Marekani AY.
Ipo siku na Mimi ntadondoka USA baby
Hata foreigners pia wanawa recruit? Na vipi kuhusu age limit?Karibu. Jeshi linahitaji watu kibao kupambana huku.
Nilikuwa naongelea jeshi la kitaa wapambanaji "wabeba box" sisi huku.Hata foreigners pia wanawa recruit? Na vipi kuhusu age limit?
Utakua na vinasaba vya kina Kamau[emoji16][emoji16]Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.