Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
20250626_235254.jpg
 
Poleni sana taifa teule,Waisrahell wa Bonyokwa
Kipigo alichotoa huyu mzee ali khamenei,ayatollah akiwa chini ya handaki ni kipigo kitakatifu kwa taifa teule na yeye ndio mwamba wa mashariki ya kati kwa sasa na hata milele.

Netanyahu hatosubutu asilani kurusha hata jiwe la manati Tehran au kwenye ardhi yoyote ya Irani.
Kwa sasa Iran ndio taifa teule hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo
 
Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Muache ajifiche...wale Mossad sio wazuri. Wameua mpaka viongozi wa juu wa jeshi. Acha ajuza Ayatollah aendelee kujificha kwenye handaki.🤣🤣🤣🤣
 
—❗️🇮🇷/🇮🇱 Israeli Channel 13: 'There were a lot of Iranian missile hits on IDF bases, in strategic sites that we still don't report about. It created a situation where people don't realize how precise the Iranians were and how much damage they caused in many places.'

@Middle_East_Spectator
 
Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
eti vimesamaratishwa! Pale kusambaza inahitajika nyuklia au tactical nyuklia bombs sio hizo GBU never on earth! Kasome kemia na physics. Waliojenga walipigia hesabu za hayo mabomu before installing those shit! Mlima + layer nzito ya zege half km down? Oooh media shikamooo zayuni media no wonder mazayuni waliokufa Kwenye hii vita ni 12 TU, na watu wanazunguka na hizo figure FB huko
 
Bila Trump kumuokoa nyau, mambo yangekuwa mabaya sana.....
Uzuri wa Trump huwa anasema kama nyeusi ni nyeusi....

Kutokea hapa muda sio mrefu akiwa whitehouse na Trump...

1750980587337.png

Mpaka kufikia hapa....

1750980663694.png
 
Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Viongozi zaidi ya 50 waliuliwa na wanajeshi wasio na idadi bila kusahau raia
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Ali Khamenei ana miaka mingapi ?
 
Acha upumbavu sio kila kitu ni kukikulupukia, angalia kwanza picha. Russia haikua na ajenda ya kuuwa viongozi na haikuwa na nia ya kufanya regime change.
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Iran kamaliza vita yake zelensky bado hivyo Ayatollah kashinda pambano lake kwa style yake.
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Raisi wa Ukraine sio target ya Urusi na hiyo ndio tofauti kati yao. Huyu wa Irani Ayatolla siku wazayuni wakijua chumba anachojifungia peke yake amekwisha.
 
Vile mmepitisha azimio la kumtetea Mungu wenu huko Isral🤣🤣hata mifano haiendani , tatizo la Phd za kupewa ili kuandika matamko na kukusanya sadaka.

Nyege zinawasumbua sana , hamuwezi kuwatisha watu bora kufa kuliko kusujudia ujinga wenu demokrasia . Soon hapa bongo utakuja kuondoka huu mfumo ila hatuweza kuandamana kuendelea kusapati demokrasia labda tutakuwa pamoja kama mnataka kupindua demokrasia ya mzungu kama enzi za Nyerere tulipotaka sera ya ujamaa .

Ayatollah hamna anachoogopa wala hayuko huo upande unaogopa kama Zelensky ,kumfananisha Ayatollah na wajinga ni dharau tena unatakiwa kuuliwa.
 
Kitendo cha mazayuni kutuma askari wa kike kwenda kumgonga Iran ni dharau kubwa sana. Ayatollah kajificha kwenye handaki kuogopa kutunguliwa. Amekuwa mtu wa mitandao tu.
Ile jeuri ya Iran kama taifa lenye nguvu imeumbuliwa sana na hii vita ya siku 12. Wadada wanaingia Tehran,wanatupia kombora na wanatoka bila usumbufu. Aibu kwa Ayatollah na majigambo yake
 
Back
Top Bottom