Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

Jana niliona kijiclip Cha muda kidogo Kama miezi 6 hivi imepita kiongozi Ali khamnei alikua na maongezi na watu wa Iran Kuna vijana wadogo walikuwepo pia wakiwa wanaenda kumsalimia, kijana mmoja miaka kati ya 8-10 alimsogelea akamsalimia akamwambia naomba uniombee dua nife shahidi!, alimjibu na akamuombea pia, aseee hili taifa ndio upigane nalo ulishinde that's a very little boy.
 
Huyo kijana aliyeombewa dua na Ayatollah afe shahid atakuwa kwenye radar za mossad tayari, atakipata alichokitamani.
 
Maajabu ni kwamba ayatollaah kawaweka shetani na mama mkwe wake ndani ya kiroba kimoja akawa anakung'uta tu kama vile anakung'uta maharage hadi wakaomba mapumziko wenyewe 🤣🤣🤣
Tukija kwa zelensky yeye anakomaa akishirikiana na mama mkwe yuleyule lakini wanaomba amani ila Putin nae anawapelekea moto tu sisi tukisikilizia mlio huku nje
 
Zelencky ana support ya NATO na 🇺🇸 ndio maana anakuwa na nguvu. Mwenzake anasapotiwa na nani? Hata hivyo nampa heko Ayatollah.
Kumbuka Israel nayo inashirikiana na NATO lakini kubwa lao marekani ndio kaomba mapumziko
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Acha kumfananisha Ayatollah na hicho kinyago chenu Zelensk

Maraisi wenye akili nyingi lazima walindwe Ili kuepusha madhara ya magaidi wa Netanyau
 
Maraisi wenye akili nyingi lazima walindwe Ili kuepusha madhara ya magaidi wa Netanyau
Ayatollah sio Rais bali mtawala mkuu wa Iran juu ya Rais.
Rais wa Iran anaitwa Masoud Pezeshkian.
 
Kwani anashika bunduki au kombora kuingia mstari wa mbele??
Kwenye hii picha hapa alikuwa kijana baadae akawa mzee ?
20250626_235254.jpg
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
mzee wetu anahitaji kupumzika zaidi,kafanya kazi kubwa
 
Kule Gaza majengo yote yamekuwa yote chini wafuasi wa allah wanasema waisrael wanapiga majengo kwa hiyo hamas,hezbollah...wameshinda,Netanyahu kaenda kupiga selected targets effectively na Iran yeye ni piga mradi lifike,mnasema Iran kashinda.Nakumbuka kijijini nilipigana na mtu aliyenizidi umri nilizidiwa lakini nilifanikiwa kumpiga ngumi moja shavuni wakanibeba eti nimeshinda huku nundu ninayo kichwani!
 
Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Mshindi ni Iran sababu:-
Iran alikua anahit very strategic target pale Israel,imagine Israel inategemea Haifa port kuingiza misaada kutoka marekani,pia Israel kupitia Haifa refinery inaproduce zaidi ya 75% ya petroleum product in the country,hii nayo imeteketezwa.
Iran imehit Microsoft office,imagine kwa nchi inayotegema science kwa kiwango chake instantly windows zote zinakua collapsed
Iran amehit Weizmana institute,hio no institute ya kijeshi kwenye sayanso za kijeshi ya jeshi la Israel,ambayo Europe wanaitegemea kwenye research works zako
Unajua ya kua Iran na mainly producers wa fuel in the world na in a numbers of oil rigs,kiasi itachukua mwaka mziam kuziharibu zote
Unajua ya kua Israel ndio nchi inayoongoza kupokea misaada kutoka U.S,na sio Iran ambayo yenyewe ndio inatoa misaada,unapigana vita kutegemq misaada?,ndio maana Trump kaomba ceasfire na sio Ayatollah😄😄😁
Unajua ya kua Iran within 12 days kaisababishia Israel almost $12 billion,yaani $1 billion everyday inakatika,.......hii ni gharama kubwa mnp kuliko U.S Afghanistan war ambayo ilikua ni $800 Million,Sasa hio pesa anatoa U.S,na unajua Trump alivo mbahili,Ukraine inatoa rasilimali zake,je Israel anatoa nin😁😁,hapa ceasefire ikaombwa faster,Trump akaona isiwe shida

Usije kua kama wale wakristo wachache wa kiafrica wanaopraise kua Israel ni taifa la mungu linatetea ukristo while ,Israel ina waislam wengi zaidi ya 5X ya wakristo
NOTE:mpumbavu ni mtu utayempa "facts"/"references",lakini bado akaendelea kubisha,Sasa nawe njoo na references kuonesha kua sio mpumbavu
😀😃😄😁
1.Iran hit largest research institute in Israel
2.Iran hit Microsoft office in Israel
3.Iran hit strategic port in Haifa
4.Iran ndio inayoongoza kupokea misaada duniani
5.Iran imeharabu kabisa mitambo ya kuzalisha mafuta pale Haifa
6.Iran ni super power ni nchi ya 3 kwa uzalishaji na uuzaji gesi duniani
7.Nchi zinazoongoza kuzalisha mafuta,Iran ipo
8.Israel kapoteza $12 billion ndani ya siku 12
9.Israel inangoza kua na waislam wengi mara 10 ya wakristo
 
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Anaogopa mpaka kivuli chake .
 
Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Kamandq wa karibu na mzee huyo si kaliwa kichwa?
 
Muache ajifiche...wale Mossad sio wazuri. Wameua mpaka viongozi wa juu wa jeshi. Acha ajuza Ayatollah aendelee kujificha kwenye handaki.🤣🤣🤣🤣
Iran inatumia strategy inaitwa "name few,distribute all"...........hata Ayatol

lah angeuliwa ama afe Leo,Iran superiority itaendelea kuwepo

Kumbuka wale ni Shia Muslims,nadhani unajua Imani yao kuhusu kifo.
Yaani imagine unajua majenelari wa vita lakini ndani ya masaa machache anateuliwa mwengine na vita inaendelea kama hamna kilichotoke wewe huogopi mkuu?
Vita sio majenelari ni strategies za kumuangamiza adui,imagine unaieletea hasara nchi nyingine ya $12 billion loss Israel got,to fight with Iran,.....hadi wanaomba cease fire,nchi nzima watu wanalala kwenye mahandaki hadi raia wengine wanakimbia nchi,serikali inawakataza Israelis left country amid Iran attacks
Muajemi ameionesha Dunia,yeye ni mtu wa namna Gani, maana alivobadilisha upepo wa vita ya Ukraine wapumbavu walikua anabahatisha How kamikaze drones changes Russia-ukraine war
Au na wewe ni kama wale wapumbavu wa kiafrica wachache wanaoamini Israel ni taifa la mungu,linatetea ukristo wakati kule waislam ni wengi mara tano ya wakristo Israel ina waislam wengi kuliko wakrsito,yaani pale Tel Aviv raia kutoka Saidi Arabia ana swali swala 5 anathaminiwa kuliko mlokole kutoka Tanganyika packer anayeuziwa mafuta😀😃😃
 
Anajua tu huko akhera bikra 72 ataishia kuziangalia tu maana nguvu za kiune hana
 
Back
Top Bottom