Mshindi ni Iran sababu:-
Iran alikua anahit very strategic target pale Israel,imagine Israel inategemea Haifa port kuingiza misaada kutoka marekani,pia Israel kupitia Haifa refinery inaproduce zaidi ya 75% ya petroleum product in the country,hii nayo imeteketezwa.
Iran imehit Microsoft office,imagine kwa nchi inayotegema science kwa kiwango chake instantly windows zote zinakua collapsed
Iran amehit Weizmana institute,hio no institute ya kijeshi kwenye sayanso za kijeshi ya jeshi la Israel,ambayo Europe wanaitegemea kwenye research works zako
Unajua ya kua Iran na mainly producers wa fuel in the world na in a numbers of oil rigs,kiasi itachukua mwaka mziam kuziharibu zote
Unajua ya kua Israel ndio nchi inayoongoza kupokea misaada kutoka U.S,na sio Iran ambayo yenyewe ndio inatoa misaada,unapigana vita kutegemq misaada?,ndio maana Trump kaomba ceasfire na sio Ayatollah😄😄😁
Unajua ya kua Iran within 12 days kaisababishia Israel almost $12 billion,yaani $1 billion everyday inakatika,.......hii ni gharama kubwa mnp kuliko U.S Afghanistan war ambayo ilikua ni $800 Million,Sasa hio pesa anatoa U.S,na unajua Trump alivo mbahili,Ukraine inatoa rasilimali zake,je Israel anatoa nin😁😁,hapa ceasefire ikaombwa faster,Trump akaona isiwe shida
Usije kua kama wale wakristo wachache wa kiafrica wanaopraise kua Israel ni taifa la mungu linatetea ukristo while ,Israel ina waislam wengi zaidi ya 5X ya wakristo
NOTE:mpumbavu ni mtu utayempa "facts"/"references",lakini bado akaendelea kubisha,Sasa nawe njoo na references kuonesha kua sio mpumbavu
😀😃😄😁
1.
Iran hit largest research institute in Israel
2.
Iran hit Microsoft office in Israel
3.
Iran hit strategic port in Haifa
4.
Iran ndio inayoongoza kupokea misaada duniani
5.
Iran imeharabu kabisa mitambo ya kuzalisha mafuta pale Haifa
6.
Iran ni super power ni nchi ya 3 kwa uzalishaji na uuzaji gesi duniani
7.
Nchi zinazoongoza kuzalisha mafuta,Iran ipo
8.
Israel kapoteza $12 billion ndani ya siku 12
9.
Israel inangoza kua na waislam wengi mara 10 ya wakristo