Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtuPoleni sana taifa teule,Waisrahell wa Bonyokwa
Kipigo alichotoa huyu mzee ali khamenei,ayatollah akiwa chini ya handaki ni kipigo kitakatifu kwa taifa teule na yeye ndio mwamba wa mashariki ya kati kwa sasa na hata milele.
Netanyahu hatosubutu asilani kurusha hata jiwe la manati Tehran au kwenye ardhi yoyote ya Irani.
Kwa sasa Iran ndio taifa teule hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo
Muache ajifiche...wale Mossad sio wazuri. Wameua mpaka viongozi wa juu wa jeshi. Acha ajuza Ayatollah aendelee kujificha kwenye handaki.🤣🤣🤣🤣Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
eti vimesamaratishwa! Pale kusambaza inahitajika nyuklia au tactical nyuklia bombs sio hizo GBU never on earth! Kasome kemia na physics. Waliojenga walipigia hesabu za hayo mabomu before installing those shit! Mlima + layer nzito ya zege half km down? Oooh media shikamooo zayuni media no wonder mazayuni waliokufa Kwenye hii vita ni 12 TU, na watu wanazunguka na hizo figure FB hukoTarget ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Viongozi zaidi ya 50 waliuliwa na wanajeshi wasio na idadi bila kusahau raiaTarget ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Ali Khamenei ana miaka mingapi ?Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Regime change imefanyika ?Viongozi zaidi ya 50 waliuliwa na wanajeshi wasio na idadi bila kusahau raia
Wame fail regime change hata hyo ku destroy nuclear program nayo wame fail hakuna walichofanikiwaRegime change imefanyika ?
Acha upumbavu sio kila kitu ni kukikulupukia, angalia kwanza picha. Russia haikua na ajenda ya kuuwa viongozi na haikuwa na nia ya kufanya regime change.Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Iran kamaliza vita yake zelensky bado hivyo Ayatollah kashinda pambano lake kwa style yake.Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Raisi wa Ukraine sio target ya Urusi na hiyo ndio tofauti kati yao. Huyu wa Irani Ayatolla siku wazayuni wakijua chumba anachojifungia peke yake amekwisha.Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech kama mwanaume kiongozi wa taifa imara. Zelensky wakati Ukraine ikiwa katikati ya kuvurumishiwa makombora makali na nduli Putin alikuwa anaenda hadi mstari wa mbele wa mapambano kuwapa moyo wanajeshi wapiganaji wa Ukraine, huo ndio uongozi, sio kiongozi taifa linashambuliwa muda wote umejificha pangoni au kwenye handaki
View attachment 3385119
Ungejibu swali ili ujione ulivyo zwazwa miaka 86 unataka azurule unaakili kweli?🤣🤣🤣 Tena ulivyo mjinga unamfananisha mjukuu na babu hii ni maajabuKwani anashika bunduki au kombora kuingia mstari wa mbele??