eti vimesamaratishwa! Pale kusambaza inahitajika nyuklia au tactical nyuklia bombs sio hizo GBU never on earth! Kasome kemia na physics. Waliojenga walipigia hesabu za hayo mabomu before installing those shit! Mlima + layer nzito ya zege half km down? Oooh media shikamooo zayuni media no wonder mazayuni waliokufa Kwenye hii vita ni 12 TU, na watu wanazunguka na hizo figure FB huko
Na bado Iran inapigwa na mabinti. Wanaingia Tehran na kutoka🤣🤣Mshindi ni Iran sababu:-
Iran alikua anahit very strategic target pale Israel,imagine Israel inategemea Haifa port kuingiza misaada kutoka marekani,pia Israel kupitia Haifa refinery inaproduce zaidi ya 75% ya petroleum product in the country,hii nayo imeteketezwa.
Iran imehit Microsoft office,imagine kwa nchi inayotegema science kwa kiwango chake instantly windows zote zinakua collapsed
Iran amehit Weizmana institute,hio no institute ya kijeshi kwenye sayanso za kijeshi ya jeshi la Israel,ambayo Europe wanaitegemea kwenye research works zako
Unajua ya kua Iran na mainly producers wa fuel in the world na in a numbers of oil rigs,kiasi itachukua mwaka mziam kuziharibu zote
Unajua ya kua Israel ndio nchi inayoongoza kupokea misaada kutoka U.S,na sio Iran ambayo yenyewe ndio inatoa misaada,unapigana vita kutegemq misaada?,ndio maana Trump kaomba ceasfire na sio Ayatollah😄😄😁
Unajua ya kua Iran within 12 days kaisababishia Israel almost $12 billion,yaani $1 billion everyday inakatika,.......hii ni gharama kubwa mnp kuliko U.S Afghanistan war ambayo ilikua ni $800 Million,Sasa hio pesa anatoa U.S,na unajua Trump alivo mbahili,Ukraine inatoa rasilimali zake,je Israel anatoa nin😁😁,hapa ceasefire ikaombwa faster,Trump akaona isiwe shida
Usije kua kama wale wakristo wachache wa kiafrica wanaopraise kua Israel ni taifa la mungu linatetea ukristo while ,Israel ina waislam wengi zaidi ya 5X ya wakristo
NOTE:mpumbavu ni mtu utayempa "facts"/"references",lakini bado akaendelea kubisha,Sasa nawe njoo na references kuonesha kua sio mpumbavu
😀😃😄😁
1.Iran hit largest research institute in Israel
2.Iran hit Microsoft office in Israel
3.Iran hit strategic port in Haifa
4.Iran ndio inayoongoza kupokea misaada duniani
5.Iran imeharabu kabisa mitambo ya kuzalisha mafuta pale Haifa
6.Iran ni super power ni nchi ya 3 kwa uzalishaji na uuzaji gesi duniani
7.Nchi zinazoongoza kuzalisha mafuta,Iran ipo
8.Israel kapoteza $12 billion ndani ya siku 12
9.Israel inangoza kua na waislam wengi mara 10 ya wakristo
Unamdanganya nani wewe poyoyo!?Target ya vita haikuwa Majengo na raia ilikuwa viwanda vya nuclear na vyote vimesambaratishwa. Sasa hapo mshindi nani? Israel ingepiga raia unafikiri angebaki mtu
Unamdanganya nani poyoyo wewe!?Na bado Iran inapigwa na mabinti. Wanaingia Tehran na kutoka🤣🤣
Katika maamuzi mazuri aliyofanya Ayatollah ni kuzia media coverage kwenye maeneo yanayopigwa na mzayuni.🤣🤣
Umeanza na matusi tena🤣🤣Unamdanganya nani poyoyo wewe!?
Kwani mwanamke kuingia jeshini ni ajabu?
Mbona kama una gender inequality!?
Israel imepigwa kisawasawa,bwana wenu USA amesema hilo sembuse wewe!?
Pole yako poyoyo ni tusi!?Umeanza na matusi tena🤣🤣
Naona unadhihirisha ukomo wa uwezo wako wa kufikiri!
Netanyahu kaumiza wengi aisee. Grow up!. Hujachelewa
Again,unadhihirisha unavyoongozwa na mihemko🤣🤣Pole yako poyoyo ni tusi!?
Ukubali ukatae Israel imebondwa maneno yako matupu hayabadili ukweli kuwa Israel was finished brutally.
Trump amekiri wewe MSWAHILI ubishe ni nani!?
Ulimikiliza Trump akiwa NATO summit alisemaje!?
Kijana mdogo bado unaropoka huongei.
Narudia tena,maneno yako matupu hayabadili ukweli kuwa Israel ndio aliyepigwa.Again,unadhihirisha unavyoongozwa na mihemko🤣🤣
Bro,calm down. Shirikisha akili kidogo. Vipi lakini,Ayatollah anatoka lini kwenye mahandaki.
Iran kabondwa na kanchi kadogo. Yale majigambo yote kushnei.
Trump katoa statement za kutosha sana tu za kichapo alichopokea Iran. Trump kasema yale mabomu ya US yameharibu vinu vyote vya nyuklia...au hapo Trump muongo?😅😅Narudia tena,maneno yako matupu hayabadili ukweli kuwa Israel ndio aliyepigwa.
Nimekuuliza swali umemsikiliza Trump alichoongea kwenye NATO summit?
Embu nijibu hapo kwanza.
Mbona unaongopa kijana!?Trump katoa statement za kutosha sana tu za kichapo alichopokea Iran. Trump kasema yale mabomu ya US yameharibu vinu vyote vya nyuklia...au hapo Trump muongo?😅😅
vipi kuhusu kuuawa viongozi wa jeshi wa juu wa Iran kwa mashambulizi ya Israel? Au tumuulize Trump na hilo!!