Ayatollah alalamika sana kwa kipigo kinachotembezwa na Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu mzee na lile kanzu lake alikuwa mstari wa mbele kuagiza magaidi ya Waislamu yashambulie Israel, sasa wanapata majibu na bila aibu analalamika....
________

The Jerusalem PostJerusalem Post
Separator
breaking newsBREAKING NEWS

Iran's Supreme Leader says Israel is committing 'shameless crimes' against children​

By REUTERS Published: SEPTEMBER 21, 2024 12:09
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei, said on Saturday that Israel is committing "shameless crimes" against children, not combatants.

His comments came a day after an Israeli airstrike on the Lebanese capital, Beirut, killed 31 people, including three children and seven women, according to the Lebanese health ministry.
 
They are reaping what they sow.

Israel wana akili kubwa, kabla ya kuwachokoza unatakiwa ujipange sawasawa.
 
Us alikaa miaka 20 anapambana na Al Qaeda pale Afghanistan baada ya shambulizi la Sept 11,

-Russia alipapambana na Chechnya miaka tele tu baada ya kuwepo mashambulizi ya mara kwa mara Moscow,

Turkey Kila siku anarusha mabomu Kurdistan na Syria kupambana na wakurds ambao anawaona wanatishia Usalama wa nchi.

Misri alipapambana na Muslim brotherhood ambao walionekana ni tishio kwa Usalama.

Kiufupi hakuna nchi ambayo itakubali raia wake waishi kwa mashaka Hizbullah, Hamas,Houth na makundi mengine kwa maksudi kabisa Kila mara wamekuwa wakirusha makombora ndani ya Israel sasa ni Kiongozi gani anaweza kuuvumilia hiyo hali?

#Israel has the right to defend itself.
 
Sure.
 
Iran ni nchi hatari sana, afadhali ya Wataliban wa Afghanistan.
Iran lengo lake lipo straight forward, kuliondoa Taifa la Israel,I firmly believe mfano wakawa wameweza kuiondoa Israel( though it's impossible).the next move would be kuifuta Al Saudi kwenye ramani ya Dunia.

Nia yao ni kufuta Wayahudi kama walivyoagizwa na allah wao, ila wanasau kabla ujio wa huyo allah, kulikua na miungu wengine akina baal waliojaribu kufuta Wayahudi walishindwa
 
The world's settings have been made by God and the all existing nations are the courtesy of God so no nation on earth however powerful it may be that can eradicate another nation and those who believe in this fallacy are just on reverie.
 
Huyu mzee na lile kanzu lake alikuwa mstari wa mbele kuagiza magaidi ya Waislamu yashambulie Israel, sasa wanapata majibu na bila aibu analalamika....
________

The Jerusalem PostJerusalem Post
Separator
breaking newsBREAKING NEWS

Iran's Supreme Leader says Israel is committing 'shameless crimes' against children​

By REUTERS Published: SEPTEMBER 21, 2024 12:09
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei, said on Saturday that Israel is committing "shameless crimes" against children, not combatants.

His comments came a day after an Israeli airstrike on the Lebanese capital, Beirut, killed 31 people, including three children and seven women, according to the Lebanese health ministry.
Wakiristo wa jf mnafurahisha sana. Uislam mtaucha mtaondoka ktk dunia ikiwa Uislam unaingia ndani ya familia zenu
 
Kabla shetani hajabuni Uislamu kule jangwani miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, kulikuwa na miungu mingine ilikuwa imejaribu kufuta Wayahudi hapo awali, sasa nini kinawaaminisha kwamba nyie mtaweza?
 
The world's settings have been made by God and the all existing nations are the courtesy of God so no nation on earth however powerful it may be that can eradicate another nation and those who believe in this fallacy are just on reverie.
You are right.
 
Kabla shetani hajabuni Uislamu kule jangwani miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, kulikuwa na miungu mingine ilikuwa imejaribu kufuta Wayahudi hapo awali, sasa nini kinawaaminisha kwamba nyie mtaweza?
Wakiristo wa jf comment zao utazania wameishia std 7
 
Wakiristo wa jf mnafurahisha sana. Uislam mtaucha mtaondoka ktk dunia ikiwa Uislam unaingia ndani ya familia zenu
Umesema vema, Uislamu ni wa duniani na abadani hauwi zaidi ya kuwepo duniani tu!
 
Nasra alikua anapiga mkwara akidhani yeye ni main character
 
Nia yao ni kufuta Wayahudi kama walivyoagizwa na allah wao, ila wanasau kabla ujio wa huyo allah, kulikua na miungu wengine akina baal waliojaribu kufuta Wayahudi walishindwa
Acha uchanga wa maarifa. Kila jambo siyo lazima uoneshe ujinga wako.

Irani ina hadi Mahekalu na Masinagogi ya dini ya Kiyahudi tangu Karne na Karne na wanaabudu na kuishi Kwa amani.
 
Back
Top Bottom