Ayatollah alalamika sana kwa kipigo kinachotembezwa na Israel

😁😁 Ayatollah anajuta kwanini nimewachokoza Israel, sasa hivi anaishi kwenye mahandaki kila siku, kila akilala anaota anawa ona wayahudi wakimmaliza, sasa hivi hawezi safari hata kwa gari akihofia Satellite Laser Weapon, yaani yuko kama digidigi
 
Kuna jambo Iran hajalielewa kuwa Israeli wana invest on intelligence na siku wakiamua basi lazma alambe vumbi. Israeli amesema anabadilisha vile anapigana ina maana yajayo nimazito sana ikiwa wataendelea mchokonoa. Kutoka maktaba Israeli wana silaa hazijawahi tumika ktk uso wa dunia. Wakati hayo yakiendelea Putin kuke Ukrainian siku zake zinasoma kama mshale vita imemkalia kooni anachoma sindano za usingizi anajuta kwa alicho kianzisha aka operation maalumu ambayo mkuu wa intelligence alimuonya asiende akamuona dhaifu... asijuwe mwenzake anajuwa umafyola wa wamarekani aka democratic
 
Israel inategemea marekani bila marekani watu wangeshaifuta kwenye ramani
 
Israel inategemea marekani bila marekani watu wangeshaifuta kwenye ramani
Hitler, firauni, na waarabu waliungana 1948 na kipindi hicho marekani hakuwepo bado walishindikana kufutika leo mtaweza na makundi yenu ya kigaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…