Sasa kama washamuua si waende wakachukue nchiRipoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio.
Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Israel au Iran kuthibitisha kwamba Khamenei amekufa.
View attachment 3550093
Sasa kama washamuua si waende wakachukue nchi
Sio kweli jamaa anakula futari mda huuRipoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio.
Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Israel au Iran kuthibitisha kwamba Khamenei amekufa.
View attachment 3550093
Hizo plan wamezi-release sehemu gani na mimi nikazione?
Wapigie simu wakutumie watsapHizo plan wamezi-release sehemu gani na mimi nikazione?
Duh! Sawa mwanaintelligensiaSio kweli jamaa anakula futari mda huu
😄Kumbe wanaripoti alafu wanajisema wenyewe hawana uhakika
Kwani shida yao kuchukua nchi
Sio kweli jamaa anakula futari mda huu
Umejuaje? Mbona chaguzi hazikuonyesha hivyo. Au hujui kuna uchaguzi ulifanyika?Wa Iran hawataki kuendeshwa kidini
Sio kweli jamaa anakula futari mda huu
Watsap ndio kitu gani?Wapigie simu wakutumie watsap