Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ndio hivyo tena, Ayatollah hakuwa na namna ya kuwakimbia kwa technology waliyokuwa wanatumia, AI is very dangerous na hata Maduro walimkamata chumbani kwake with same technology, wakikutaka hawakukosi
RIP kaka Ayatollah. Tutakutana katika foleni ya kuwaendea mabikra 72, Amina 🙏.
 
Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio.

Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Israel au Iran kuthibitisha kwamba Khamenei amekufa.

Wakati huo huo, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amedai kwamba Rais wa Iran na Kiongozi Mkuu wako ‘salama na wazima.’ Lakini Khamenei hajionekani hadharani wala kwenye video tangu mashambulizi yalipoanza.

View attachment 3550093
View attachment 3550190
View attachment 3550169
View attachment 3550183
Alijua kuwa atauawa tu,ndio maana alisema kwanini nijifiche,je tunaweza kuwaficha watu wote wa Iran?
Je tunajua hasa ni sababu zipi zimesababisha trump na natanyahu kuipiga Iran?Je hizo sababu wanazozisema ndio hasa zimesababisha hiyo vita?
 
Back
Top Bottom