ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hao ambao Beberu anawaoiga ni wadogo sidhani kama Kuna mtu atashangaa Kwa hili.Kwa miaka takribani miwili hivi vimeibuka vionline media vinajaribu sana kuushusha ukuu wa Marekani kiuchumi na kijeshi nadhani sasa jibu watakuwa wamelipata. Marekani na Mossad ni mara chache sana wakekosea target. Hizi media zimekuwa zikipiga peopaganda za uongo huku wakijua watu wengi ni wavivu wakutafuta taarifa pengine kwa ajili ya lugha. Sasa sijiu watawaambiaje wafuas wao.
Apige Russia au China ndio tutajua ni Mkuu lakini kushambulia kina Iran,Venezuela na Nchi za hivyo sio ukui Bali ubabe Kwa sababu alishawazidi siku nyingi.
Sidhani kama Kuna Nchi yeyote ndogo ambayo Beberu atataka jambo lake wakabisha haipo.
Just imagine Ulaya yote imejaa Kambi zake,Mashariki ya Kati Kambi zake,Afrika hivyo hivyo kidogo ana Kambi chache Asia na Marekani Kusini ambako nako hawana Cha kumfanya.
Beberu alipigaga Japan sembuse Iran?