Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Mkuu hii amefyeka Kila kitu wote walikuwa kwenye compound moja.

Halafu Kuna wajinga wanakuja na hoja zao za China. Wachina ni wachumba tu na sasa huyo Xi akae rada. He is next.
Wewe jamaa acha mihemuko kwamba xi atafanywaje.
 
Watu hawajui vizuri historia ya kuibuka USA , na kwanini ipo hapo
Wakisikia USA wanafikiria iko kama Tanzania. USA ni mataifa 50 yenye uchumi imara, teknolojia ya hali ya juu yaliamua kuungana na kuendesha utawala wao kidemokrasia. Hizi nchi baada ya kuungana ndo yanaitwa majimbo ya Amerika. Hayo maguvu ya marekani ni ya nchi 50 halafu unataka Irani kainchi kamoja kaliko na jamii zinazotofautiana kisiasa ndo kadundane na USA.
 
“Hizi taarifa za kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa nadhani zitakuwa na ukweli ndani yake, ameuwawa yeye pamoja na Viongozi wengi wa juu ambao ni Wafanya maamuzi wa Iran, kuhusu nani atamrithi Khamenei nadhani watanipigia simu kuniuliza nani nataka awe Kiongozi wa Iran”

- Donald Trump, Rais wa Marekani.
Busu la Kenge somaaaa hiyoooo
 
Mnoshabikia vita hivi ni sawa sawa kushabikia mauaji ya 0ct hmna tofauti hlf unafiki umewajaa
Hata wale wa October 29 walistahili kuuliwa tu. Unachomaje miundombinu ya Serikali? Halafu tukuchekee??
 
kwa says duniani watu wema , wenye haki, wasiokuwa na watetezi , watu wa hali ya chini, wasio na uwezo wa kujitetea wanaweza Kufa mda wowote bila hata sabb za kisheria.. yaan mtu anaweza kuamka nyumban kwake akaona humstahilia anakuuwa na inakuwa imeisha hvyoo..

Mungu atusaidie sana ..
 
Kama hii habari itakua kweli basi kila goti litapigwa kwa marekani

Hawa mbwa ni nyoko wanatisha vibaya mnooo
Kwa miaka takribani miwili hivi vimeibuka vionline media vinajaribu sana kuushusha ukuu wa Marekani kiuchumi na kijeshi nadhani sasa jibu watakuwa wamelipata. Marekani na Mossad ni mara chache sana wakekosea target. Hizi media zimekuwa zikipiga peopaganda za uongo huku wakijua watu wengi ni wavivu wakutafuta taarifa pengine kwa ajili ya lugha. Sasa sijiu watawaambiaje wafuas wao.
 
Huu ni upuuzi wa Hali ya juu sana Yani marekani anaamua tu kumuua mkuu wa nchi nyingine kwa mamlaka Gani aliyo nayo? Iran msikubali ipite hivohivo atazoea huyu
Kwamba ni nani kuuawa na Marekani? Itakuwa ni AI.
 
Uongo khamenei mzima we umeiona picha yeyote ya mzoga wake? Israel walipomuua sinwar haikupita nusu saa walionesha mwili wake Leo wamuue kiongozi wa Iran wasimuoneshe unaamini hilo? Labda wapo busy kutengeneza AI 🤣🤣
Vipi upo?
 
Back
Top Bottom