Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Vita ya siku 12 Trump alisema aliiomba Israeli isimdhuru Khamenei, japo alikua kwenye 18. Inaonekana wameamua kufungulia mbwa chekechea
Maduro gone, and now Khamenei gone. Putin hana pa kujishikia. His days are numbered
 
Me huwa nakuwa wa mwisho kuamini makobazi huwa hawana la ukweli wanaloongea. uongo tu daima kwao.

Iran na Tanzania hawana tofauti wanafanana kwa matamko yao na tabia, Walisema Magufuli mzima wa afya na anaendelea na kazi zake kama kawaida, kumbe Njemab ilishatangulizwa king.
Uongo khamenei mzima we umeiona picha yeyote ya mzoga wake? Israel walipomuua sinwar haikupita nusu saa walionesha mwili wake Leo wamuue kiongozi wa Iran wasimuoneshe unaamini hilo? Labda wapo busy kutengeneza AI 🤣🤣
 
nendeni X, naskia khamenei ametweet huko.
1772299043007.jpg
 
Back
Top Bottom