Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Kwishaaa yeyeeee
Eliminated.Freedom is here,go rot in hell Ayatollah View attachment 3550232
Kwishaa yeyeeeEliminated.
Huyu mwamba ameitikisa Middle East kwa miaka mingi sana.
Habari njema lakini kifo chake kitaibadilisha Middle East kwa kiwango kikubwa sana.Habari njema hii.
Heshima itakuwepoHabari njema lakini kifo chake kitaibadilisha Middle East kwa kiwango kikubwa sana.
Iran wanatakiwa wawashe moto zaidi.Sasa hapo sijui kama itawafanya Iran kurudi nyuma
Muda simrefu utaipata mkuu
Endelea kuota, Israel kwenye kutoa taarifa sahihi za maafisa wa juu wa Iran hajawahi kukosea.Taarifa sahihi kabisa isiyo na mashaka wataitoa Iran wenyewe
Hahahahahaaaaa liko chumbani kwao limelala chalii kwa kuvimbiwa na Futari na tende. Yenyewe ni kufakamia tu na kubughia hayajali matoto huko Gazza hayana msosi
Hili ni pigo kubwa sana kwa Kobazi kudadeki.Heshima itakuwepo
King of middle East kashapatikana
Hawa Hezbollah, Hamas,houths,kattib nk sijui kama wataamka kula daku leo🤣
Naisubiri kwa hamu ili kujua tutuchukua hatua gani dhidi hao maadui zake.Muda simrefu utaipata mkuu