- Thread starter
- #41
Hayo ni mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1953.mbona wanasema kuna mmoja alichomolewa kwa coup? wakawekwa hao puppets waliokuja kukumbwa na hiyo 1979 revo sasa
Hayo ni mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1953.mbona wanasema kuna mmoja alichomolewa kwa coup? wakawekwa hao puppets waliokuja kukumbwa na hiyo 1979 revo sasa
Kiufupi, mwaka 1953 Waziri Mkuu wa Iran aitwaye Mohammad Mossadegh aliondolewa madarakani kupitia mapinduzi ya siri yaliyoungwa mkono na CIA na MI6.mbona wanasema kuna mmoja alichomolewa kwa coup? wakawekwa hao puppets waliokuja kukumbwa na hiyo 1979 revo sasa
naam, so basically its not about democracyKiufupi, mwaka 1953 Waziri Mkuu wa Iran aitwaye Mohammad Mossadegh aliondolewa madarakani kupitia mapinduzi ya siri yaliyoungwa mkono na CIA na MI6.
Mossadegh alikuwa ametaifisha mafuta ya Iran kutoka kwa kampuni ya Uingereza, jambo lililokasirisha sana Uingereza na kuathiri maslahi yake.
Baada ya coup, Mohammad Reza Pahlavi (Shah) aliimarishwa zaidi madarakani kwa msaada wa Magharibi hadi Mapinduzi ya 1979.
Ni maslahi zaidi.naam, so basically its not about democracy
Saud Arabia ni nchi Takatifu kama hujuiWala sio sababu, ni chuki tu za USA. Mbona Saudi Arabia ina udikteta zaidi na imetawaliwa na familia moja kwa miaka zaidi ya 70 sasa!! Ila haiwezi guswa hata wafanyeje sababu ni kibaraka wao. USA ni wanafiki sana
Kabisa blaza!!!Tuishi kwa amani na upendo hapa Duniani.
Vita, njaa, umasikini,maradhi sugu na ukame visikie tu kwa jirani.
Naam,Ni maslahi zaidi.
Mzee huyu plus umri hata kama kapkna awapishe wengine waendeleze gurudumu lao
Yaani Israel wakutafute na Upone? Keshakufa.Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya mashambulio.
Hata hivyo, matamko hayo hayajathibitishwa rasmi na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Israel au Iran kuthibitisha kwamba Khamenei amekufa.
View attachment 3550093
View attachment 3550190
View attachment 3550169
View attachment 3550183
Ngoja tusubrie taarifa rasmi kutoka Iran ila inawezekana huyu Mzee tayari amekufa. Maana 30 missiles kwenye compound Moja sio mchezo.Israel mara chache sana wanakosea Shabaha. Wanasema kwa miaka wamekuwa wanavizia siku ambayo viongpzo wote watakutana sehemu moja. Hilo shambulizi inadaiwa lilifuta eneo lote ambapo viongozi wa Iran na babu wakiwa katika kikao.
Ila analyst mmoja alidai Babu alikuwa ni Zuga tu IRGC ndio inayoongoza Iran. Kwa hiyo kumuua ni kuifanya kubaki chini ya utawala wa kijeshi ambao uko strong kama human.
Tusubiri tutaona mengi.
Huyu Mzee atakumbukwa sana kwenye geopolitics.
Mzee huyu ameacha alama kubwa Mashariki ya Kati na atakumbukwa sana kwenye siasa za dunia. Amebaki Netanyahu, nadhani baada ya operesheni hii kufanikiwa, naye pia anapaswa kupisha wengine. Watu hawa wawili wameitikisa Mashariki ya Kati kwa muda mrefu sana.Mzee huyu plus umri hata kama kapkna awapishe wengine waendeleze gurudumu lao
Eliminated tayari.Yaani Israel wakutafute na Upone? Keshakufa.