Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

USA ipo mbele ya dunia miaka 100 kauli ya trump ilikuwa ninkama death penalty kwa viongozi wote wa iran nadhaninteyari wote walikuwa wapo kwenye target bila wao kujua .
Mkuu hii amefyeka Kila kitu wote walikuwa kwenye compound moja.

Halafu Kuna wajinga wanakuja na hoja zao za China. Wachina ni wachumba tu na sasa huyo Xi akae rada. He is next.
 
Back
Top Bottom