Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ngoja tuone.
1000356983.jpg
 
Hawa jamaa huwa hawajifichi? Mbona wanauwawa kama nzige?

Au janja zao huwa ni kuwaonea wananchi tu wasio na silaha?
Tatizo sio kujificha, tatizo n unapambana na nani.
Unadhani wote waliouawa au kushikwa na USA hawakujua Kuna kujificha?
Mpaka Trump anaongea unadhani jamaa hajui nguvu ya USA kwamba akae awasubiri?
 
Ila kama Ayatollah kweli kauawa kitu pekee ambacho kinaweza kunifariji ni nyeto tu aisee.

Yaani inauma, we acha tu.
Ila mwamba ameacha legacy kubwa sana Mashariki ya Kati. Ametikisa sana ukanda ule.

Respect kwake 🫡
 
Iran wanatakiwa wawashe moto zaidi.
Tatizo la Iran haina mkakati wa kueleweka kwenye mashambulizi yake.

Inaweza kurusha roketi hata buku ila kusiwe na damage yeyote ya kifo cha kiongozi yeyote.

Silaha anazo bora ila inaonekana hana mbinu sahihi, kupiga base peke yake huku wale viongozi wakuu ambao ndio waanzilishi wa vita wako hai ni kupoteza mabomu yako tu.
 
Marehemu alikuwa ana mdomo sana.
 
Back
Top Bottom