nakumbuka Israel walipomshambulia Nasrallah vyombo vya habari vya israel vilikuwa wa kwanza kutoa taarifa na watu wakakanusha lakini baadaye ikathibitishwa ni kweli...pia alipouwawa yahya sinwar, waziri mkuu wa Yemen na viongozi wengine wengi .... NAUMIA SANA MOYONI KUSIKIA TAARIFA HIZI ILA SINA bUDI KUSUBIRI TAARIFA KAMILI
Netanyahu muda siyo mrefu amelihutubua Taifa na kusema kuna kila dalili ya kwamba Ayatollah hatunaye tena....
kwa namna Netanyahu alivyo ni vigumu sana kutoa taarifa ambazo hana hakika nazo......ila pia inawezekana Ayatollah akawa Yuko salama kwa man inasemekana alishajificha kwenye handaki tangu mwezi uliopita...je nani msema kweli hapa??