secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Dan, inauma sana.Watarudi mezani haraka sana, vita hawawezi tena
Dan, inauma sana.Watarudi mezani haraka sana, vita hawawezi tena
Kabakia Xi akae rada.Nyeto ndo msaada wako siku ya leo, mm kesho mapema sana naenda kanisani kuiombea mema USA wazidi kugawa moto kwa makobaz na kumshukuru Mungu kwa kuifanya USA kuwa mbabe wa dunia
Marehemu alikuwa ana mdomo sana.Tayari Media kubwa zimetangaza
Kashaenda KUKUTANA na Mabikira 72
Kabisa. Hizi zinazotoka na hivi vyombo vya kuzayuni ni taarifa za kimkakatiTaarifa sahihi kabisa isiyo na mashaka wataitoa Iran wenyewe
Wamelipua lipua baadhi ya maeneo lakiniKwamba pamoja na kipigo chote cha leo bado wamelala wanasubiri kiongozi wao afe ili watoke?
Ukisikia kwenye biblia kila goti litapigwa kwake, bc ujue kabla hujapiga goti Kwa Sir God bc lazima ukapige goti Kwa USAUSA ameandikwa kwa biblia na kingine USA aliwapokea Wana matengenezo akawahifadhi karne ya 15-16 hapo
Dadeki kabakia Paper tiger. Akae rada.Petrodollar katika ubora wake
Waarabu kwanza wote wapo upande wa USA NA ISRAELWw endelea kuumiza kichwa chini ili upate sigda ila Waarabu wenye Uislamu wao hakuna hata mmoja mwenye alama ya sigda kwenye kipaji cha uso 😂
Mambo ya vita na USA, nyie kobaz hamuwezi kitu.
Hahaha. Sigda ni tiketi ya kwenda kuwa na mabikra 72 walioko pepeoni mkuu.Ww endelea kuumiza kichwa chini ili upate sigda ila Waarabu wenye Uislamu wao hakuna hata mmoja mwenye alama ya sigda kwenye kipaji cha uso 😂
Mambo ya vita na USA, nyie kobaz hamuwezi kitu.
Watu hawajui vizuri historia ya kuibuka USA , na kwanini ipo hapoUkisikia kwenye biblia kila goti litapigwa kwake, bc ujue kabla hujapiga goti Kwa Sir God bc lazima ukapige goti Kwa USA
Ngoja tuone itavyokuwaNi ngumu sana kumaliza vita na hawa jamaa.
HeheeeeeWacha wajifurahishe Ayatollah yuko hai
Trump mwezi April anaenda China kuonana na Xi.Halafu Kuna wajinga wanakuja na hoja zao za China. Wachina ni wachumba tu na sasa huyo Xi akae rada. He is next.
nakumbuka Israel walipomshambulia Nasrallah vyombo vya habari vya israel vilikuwa wa kwanza kutoa taarifa na watu wakakanusha lakini baadaye ikathibitishwa ni kweli...pia alipouwawa yahya sinwar, waziri mkuu wa Yemen na viongozi wengine wengi .... NAUMIA SANA MOYONI KUSIKIA TAARIFA HIZI ILA SINA bUDI KUSUBIRI TAARIFA KAMILI
Mi nawaenjoi tu. Ayatollah hafi kirahisi kama kushusha chupi ya kahaba wa kimboka.Wacha wajifurahishe Ayatollah yuko hai
Xi apunguze mdomo.Trump mwezi April anaenda China kuonana na Xi.
Kuna mdau nilimwambia usilete imani ktk masuala ya ukweli, nikamkumbusha unamkumbuka msemaji wa Iraq alikuwa na mikwara mingi ila wakachapika? Akabisha nikatulia, nikamwambia sawa hao marekani sio wakuwabishia huwa wanatoa tahadhari kisha wanafanya kweliKobazi hawajawahi kuwa na akili
Allah anawadanganya sana
Uko wapi huo mwili?