Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

FB_IMG_1772311351767.jpg
 
Hii taarifa ametoa Netanyahu mwenywe kwamba kuna kila dalili Ayatollah ameuawa!..

Netanyahu hawezi kuja public na habari ambayo haina uthibitisho,

Pia Iran walisema Ayatollah ataongea ila mwisho wa siku ikawa kimya
 
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameripotiwa kufariki dunia, kwa mujibu wa madai ya maofisa kadhaa wa Israel. Inadaiwa mwili wake ulipatikana chini ya vifusi katika makazi yake nchini Iran kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani kwa kushirikiana na Israel.

Kwa mujibu wa ripoti, Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu walionyeshwa picha ya mwili wa Khamenei. Kituo cha televisheni cha Channel 12 kiliripoti kuwa, “Picha ya mwili ilionyeshwa kwa Netanyahu na Trump.”

Shirika la utangazaji la umma la Israel, Kan, lilieleza kuwa maofisa wakuu wa Israel waliarifiwa kuhusu kuondolewa kwa Khamenei na kwamba mwili wake ulitolewa kutoka kwenye vifusi vya makazi yake. Hata hivyo, hadi sasa hakuna uthibitisho rasmi kutoka Tehran kuhusu kifo chake.

20260228_235409.jpg


MUDA MWINGINE ELI COHEN MLINIONA MZINGUAJI ILA NILIWAAMBIA USA NA ISRAEL SIO JIKONI MWENU MNAINGIA MNAVYOTAKA, WAKIKUWEKA BOUNTY NI ISSUE YA MUDA TU.
LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION 🦅✡️
 
Nimeangalia Al Jazeera wanasema wakati wa mashambulizi Aytolah hakuwepo kabisa Tehran
 
Hii taarifa ametoa Netanyahu mwenywe kwamba kuna kila dalili Ayatollah ameuawa!..

Netanyahu hawezi kuja public na habari ambayo haina uthibitisho,

Pia Iran walisema Ayatollah ataongea ila mwisho wa siku ikawa kimya
Iran walitaka kuleta janja janja.
 
Hawa jamaa huwa hawajifichi? Mbona wanauwawa kama nzige?

Au janja zao huwa ni kuwaonea wananchi tu wasio na silaha?
Wanasema wakati mazungumzo yanaendelea wao USA na Israel walikuwa wanakusanya data za wapi pa kupiga, maamuzi ya kushambulia unaambiwa yaliamuliwa wiki 2 zilizo pita kama una kumbuka Netanyahu alienda USA wiki mbili zilizo pita.

Irani ni wapumbavu sana kama walikuwa ule mikusanyiko wote wa vifaa vya kijeshi vya USA alafu wao wakawa wanadanganyika kwa mazungumzo tu
 
Back
Top Bottom