Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

“Hizi taarifa za kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa nadhani zitakuwa na ukweli ndani yake, ameuwawa yeye pamoja na Viongozi wengi wa juu ambao ni Wafanya maamuzi wa Iran, kuhusu nani atamrithi Khamenei nadhani watanipigia simu kuniuliza nani nataka awe Kiongozi wa Iran”

- Donald Trump, Rais wa Marekani.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amekanusha . Viongozi wote wapo fit na Wana afya njema.
Me huwa nakuwa wa mwisho kuamini makobazi huwa hawana la ukweli wanaloongea. uongo tu daima kwao.

Iran na Tanzania hawana tofauti wanafanana kwa matamko yao na tabia, Walisema Magufuli mzima wa afya na anaendelea na kazi zake kama kawaida, kumbe Njemab ilishatangulizwa king.
 
Kwanini Ayatollah asijitokeze kuthibitisha Netanyau ni muongo?
Kwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.

Ila waziri wa mambo ya nje tena kahojiwa na chombo cha habari cha magharibi, kwamba viongozi wote ni wazima ,so ngoja tusubiri inawezekana ikawa kweli au propaganda za magharibi.
 
“Hizi taarifa za kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa nadhani zitakuwa na ukweli ndani yake, ameuwawa yeye pamoja na Viongozi wengi wa juu ambao ni Wafanya maamuzi wa Iran, kuhusu nani atamrithi Khamenei nadhani watanipigia simu kuniuliza nani nataka awe Kiongozi wa Iran”

- Donald Trump, Rais wa Marekani.

Trump anaongea kama chizi ujue.
Ati watampigia simu Nani awe kiongozi,😂😂

Dunia haiko fair
 
Kwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.

Ila waziri wa mambo ya nje tena kahojiwa na chombo cha habari cha magharibi, kwamba viongozi wote ni wazima ,so ngoja tusubiri inawezekana ikawa kweli au propaganda za magharibi.

Uwezekano ni mkubwa kauawa.
Usiku wa Leo Iran ilikuwa na Operation Tue promise 4 lakini naona imepigwa kichovvu
 
Recent post kutoka kwenye official account ya Khamenei.
1000357037.jpg
 
Kwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.

Ila waziri wa mambo ya nje tena kahojiwa na chombo cha habari cha magharibi, kwamba viongozi wote ni wazima ,so ngoja tusubiri inawezekana ikawa kweli au propaganda za magharibi.
Ni kama video ya Mafwele itakuwa nao walitumiwa view once
 
Trump lazima ajisifie itakuwa alipewa target ya walipo ndo maana wakatuma vitu ila ngoja tuone muda ndo jibu sahihi
 
Back
Top Bottom