Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
KAfanywa kama alivyofanya wenzake.daaah on day one mzee kapita hivi
Muosha , huoshwa
KAfanywa kama alivyofanya wenzake.daaah on day one mzee kapita hivi
Mabikra 72 na Dawasco ya Pombe
Malipo ni hapa hapa dunianiKAfanywa kama alivyofanya wenzake.
Muosha , huoshwa
Wameshashusha ,,Hadi maksi zimeshushwa mashulenina sasa wanakwenda kushusha elimu yetu zaidi na kuibomoa kabisa, wamejaza hijab kwenye wizara ya elimu na kuleta siasa badala ya perfomance ...
HahahahahaMabikra 72 na Dawasco ya Pombe
Asingeweza kujificha sababu aliamini muda wa mashambulizi bado, kwakuwa kulikuwa na mazungumzo yanaendeleanakumbuka Israel walipomshambulia Nasrallah vyombo vya habari vya israel vilikuwa wa kwanza kutoa taarifa na watu wakakanusha lakini baadaye ikathibitishwa ni kweli...pia alipouwawa yahya sinwar, waziri mkuu wa Yemen na viongozi wengine wengi .... NAUMIA SANA MOYONI KUSIKIA TAARIFA HIZI ILA SINA bUDI KUSUBIRI TAARIFA KAMILI
Netanyahu muda siyo mrefu amelihutubua Taifa na kusema kuna kila dalili ya kwamba Ayatollah hatunaye tena....
kwa namna Netanyahu alivyo ni vigumu sana kutoa taarifa ambazo hana hakika nazo......ila pia inawezekana Ayatollah akawa Yuko salama kwa man inasemekana alishajificha kwenye handaki tangu mwezi uliopita...je nani msema kweli hapa??
Muoshwa.....Kaua Waandamanaji wengi ni haki yake
HahahhaMabikra 72 na Dawasco ya Pombe
Au sio!?Labda khemei wa mtwara nikisai
Jamaa yupo teleeeee
Ngoja vijana wake wa JF waone hio comment hahahaHahahahaha