Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

Hakuna kitu kama hicho, labda watume jeshi la ardhini likapambane na Basij militia na IRGC (haya ni nje na jeshi la kawaida) yanayolinda mapinduzi.

Ayatollah mpya atatangazwa maisha yataendelea
Sasa itakusaidia nini unatumia Rasilimali zako kujijenga harafu unakuja kushambuliwa unauwawa,unaharibiwa Rasilimali, utaratibu huo wa Maisha Hadi lini?
 
Vita havina macho hiyo inaitwa collateral damage,ila nitakushangaa sana kama mkristo unaunga mkono dola inayofadhiri ugaidi duniani ambayo imeua na kuangamiza wakristo wengi kama dola hiyo ya kiislam ya irani.
Ugaidi ni nini? Saudi Arabia inasupport RSF nao si magaidi ama? Israel inaipa silaha na mafunzo SDF/PKK/HTS wa Uturuki na Syria ambao wamelistiwa kama magaidi na CIA!!

Au hujui Rais wa sasa wa Syria kabla ya kuapishwa urais alikua boss wa Al Qaeda-Syria? Je ni gaidi na yeye? Kama ni gaidi je Israel nayo huoni inafadhili ugaidi?
 
Sasa itakusaidia nini unatumia Rasilimali zako kujijenga harafu unakuja kushambuliwa unauwawa,unaharibiwa Rasilimali, utaratibu huo wa Maisha Hadi lini?
Ndio kaweka misingi ya uchumi na elimu au unadhani na hivyo vikwazo wangetoboaje miaka yote hii wasiwe kama Zimbabwe?

Na hakuna kilichoanguka ni rais tu kaondoka ila kaacha IRGC na Basij imara hakuna mtu atapindua serikali ya Ayatollah tuko hapa utakuja niambia.
 
unaunga mkono dola inayofadhiri ugaidi duniani ambayo imeua na kuangamiza wakristo wengi kama dola hiyo ya kiislam ya irani.
Acha uongo Marekani pekee tu kaua wakristo wangapi DRC, Angola, Mozambique? Hiyo vita ya Congo tu walikufa watu million 5 majority being Christians!! So ukitaka kwenda kwa angle ya dini sidhani kuna mtu kauwa wakristo kama USA!!

Na hapo sijaongelea mauaji ya halaiki kule Philippines!!
 
Raia gani wakati wanafunzi 200 wameuwawa na makombora ya Israel kwenye shule!!

Mie sio kobazi, na sielewi kwanini mtu hawezi kuwa mkristo na akaipinga marekani!! Hivi akili za wapi hizi? Mbona Russia wakristo na wanaiunga mkono Iran na kuwapinga USA?
We ni kobazi muandamizi, kama kweli wewe Mkristo hebu andika:

Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.
 
Tumehuzunishwa sana na mauaji ya kikatili aliofanyiwa mtakatifu ayatollah.Ila hakuna cha kufanya kwa yaliyotokea,ila tuh nikuwapa pole ndugu jamaa na marafiki.mola ailaze roho yake mahal pema pepon. Ila tutazid kuiombea dua taifa hilo,kwa magumu wanayopitia.polen sn ndugu zangu waislamu.
 
Screenshot_2026-03-01-22-03-58-085_com.whatsapp~2.jpg
 
Teari iran ishakuwa kibaraka wamarekani hakuna ubishi nchi ishauzwa iyo.. jiandaeni kwa mfumo mpya wa uongozi usiokuwa wa kidini au ayatollah mpya lazima awe kibaraka wa marekani.
 
Tumehuzunishwa sana na mauaji ya kikatili aliofanyiwa mtakatifu ayatollah.Ila hakuna cha kufanya kwa yaliyotokea,ila tuh nikuwapa pole ndugu jamaa na marafiki.mola ailaze roho yake mahal pema pepon. Ila tutazid kuiombea dua taifa hilo,kwa magumu wanayopitia.polen sn ndugu zangu waislamu.
Kwa jinsi msinyo na akili hata kifo cha kahaba na toto lake shenzi Abdul mtauzunika.
 
Teari iran ishakuwa kibaraka wamarekani hakuna ubishi nchi ishauzwa iyo.. jiandaeni kwa mfumo mpya wa uongozi usiokuwa wa kidini au ayatollah mpya lazima awe kibaraka wa marekani.
kwani kuna ubaya gani kuwa kibaraka, si ndiyo uchawa wenyewe kama bongo?
 
Back
Top Bottom