Iran akiwadungua mnaanza kutusengenya sisi wa bonyokwa , inakuaje lakini bwashee hapo Haifa hamjambo?Ulipo hapo bonyokwa maji yanatoka???
Si wanasema Marekani ana nguvu, sasa mbona Israel inaunguzwa moto na wao hawana ubavu wowote wa kuwasaidia!!??Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa
Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel kusema ajisalimishe kwa wema
Kasema hakuna kipengere cha UN kinasema hapaswi kurutubisha Uranium kwa matumiz ya umeme
Kasema hakuna ushahidi wowote ulioonesha Iran inatumia Uranium kwa matumiz mabaya ya kijeshi
View: https://youtu.be/SosjKO6y1pA?si=aHhw7mzRd5Idakbe
Mwoga sanaSema haya mambo bana...anawatumia majenerali wake kama ngao...yeye anahutubia halafu anarudi nyuma wenzake wanaliwa kichwa🐼
Kuliko utawala wa CCM?Ayatollah utatoka tu hapo, Israel haina shida na raia wa kawaida Iran bali ina shida na utawala wako muovu mithili ya death cult wenye mrengo wa karne ya saba.
Ayatollah utatoka tu hapo, Israel haina shida na raia wa kawaida Iran bali ina shida na utawala wako muovu mithili ya death cult wenye mrengo wa karne ya saba.
Si mchezo kujua muda wowote adui akiamua unaweza zimishwa.Sema amekuwa mnyonge
Kichaa huyo achana naye kaka.Kosa na uovu wa Ayatollah ni nini?
Sijawah ona mtu mwenye mikwara na maneno yakukatisha tamaa kama trump.Si mchezo kujua muda wowote adui akiamua unaweza zimishwa.
Umejificha zako sehemu unayoamini ni ya siri sana halafu wahuni huko nje wanatangaza wanajua ulipo na kukuita 'an easy target', na ukizingatia uwezo na historia yao kwenye ishu hizo. Unaweza kupoteza uzito hata kilo 6 kwa siku moja hata kama wanapiga mkwara tu na hawajui ulipo.
😁😁Trump tajiri tena la kinyamwezi lakini mhuni kama akina mzee Magoma wazee wana kurujuan, ila kwenye vitendo huwa almost ni 0Sijawah ona mtu mwenye mikwara na maneno yakukatisha tamaa kama trump.
Yani kauli zake zikimpata mlengwa lazima achanganyikiwe
Nakumbuka kipindi cha nyuma kim jong un alikua anapenda sana kutest silaha zake na kuwatisha mahasimu wake, siku moja trump alimwita mr. Rocket man....tangu siku hiyo ndo ikawa mwisho wa n.korea kurusha hovyo rocket zake
Nadhani kile kijembe kinamuumiza sana rais wa N.k mpaka leo