Ulijuaje? Kwani Akwilima alijua kama ataua kwa bomu?Sitauawa kwa bomu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulijuaje? Kwani Akwilima alijua kama ataua kwa bomu?Sitauawa kwa bomu
Titizo la vita ni kwamba ukishachagua kupigana basi ujue hauns nafasi ya kumlazimisha adui wako asipate support kutoka sehemu nyingine. Vita haina refarii, kama hujajipanga usikurupuke kushiriki
Lakini si hicho cha kujitakia. Unajua kabisa Israel inawawinda viongozi, na wewe eti unakubali kuwa kiongozi!
Kama mjane asie na mume
Mossad Head Quraters juzi imechakazwa na kibano cha Iran.
Naona Wazayuni mnafarijiana tu
Muislam akifa ktk jihad ni ufahari kwake na tafauti na kafiriBiblia si inasema tusiogope mwenye kuuwa mwili?
Kwani nani atakuwapo duniani siku zote?
Unajidanganya sana wewe. Unapenda mpaka unapagawa?MOSAD wako hadi Tehran na wana ofisi kadhaa za informers huko Tehran, na wana all infos za Ayatollaah
Nsunga mkono hoja.Israeli ingechagua diplomacy na iwaache hawa waarabu waishi bila hivyo maisha yote watakuwa na vita maana kuna vitoto vilizaliwa 2006 viliona ile vita leo ndo vinaisumbua Israeli. Hawa wanaozaliwa na kukulia kwenye hii vita ya 2024 watakuwa na visasi na wakiwa wakubwa MISSION YAO ITAKUWA KULIPA KISASI TENA, sasa Israeli imechagua hvyo na ikumbukwe waarabu wanafyatua sana watoto hao kuwapunguza sahau😄😄😄😄 wape mda utajua hujui. Israeli ingekubali kuishi nao au wagawane maeneo. lasivyo iue waarabu wote wa palestina na nchi zote na kiarabu hapo ndo wataishi kwa amani.
Muislam akifa ktk jihad ni ufahari kwake na tafauti na kafiri
Unajidanganya sana wewe. Unapenda mpaka unapagawa?
Naunga mkono hoja yako.Biblia si inasema tusiogope mwenye kuuwa mwili?
Kwani nani atakuwapo duniani siku zote?
Mbona kuna jeshi kubwa LA USA kuwasaidia? Mkiristo wewe umejaa propaganda sanaHujui kitu ww mtoto mdogo sana, MOSAD unaijua wapi ww mtoto usie jua dunia hata nukta
Assassination of Iranian nuclear scientists - Wikipedia
en.wikipedia.org
Wayahudi wa Newala sasa!BIG BREAKING NEWS 🚨 Iran's Supreme Leader Ali Khamenei has been relocated from Safe location to EXTREMELY Safe Location.
MOSSAD has reportedly discovered his hiding place.
Ali Khamenei is very scared. Iran common people are also angry with him.
This has left Khamenei in a state of fear as public anger in Iran continues to mount against him. With tensions escalating, Israel is poised to launch a decisive operation at any moment to defend its interests.
Khamenei's terror tactics have only fueled a stronger resolve against terrorism worldwide. The clock is ticking, and the stakes couldn't be higher for Khamenei and his regime!
Israel can launch operation at any moment in order to defend itself.
View attachment 3115893
Israeli ingechagua diplomacy na iwaache hawa waarabu waishi bila hivyo maisha yote watakuwa na vita maana kuna vitoto vilizaliwa 2006 viliona ile vita leo ndo vinaisumbua Israeli. Hawa wanaozaliwa na kukulia kwenye hii vita ya 2024 watakuwa na visasi na wakiwa wakubwa MISSION YAO ITAKUWA KULIPA KISASI TENA, sasa Israeli imechagua hvyo na ikumbukwe waarabu wanafyatua sana watoto hao kuwapunguza sahau😄😄😄😄 wape mda utajua hujui. Israeli ingekubali kuishi nao au wagawane maeneo. lasivyo iue waarabu wote wa palestina na nchi zote na kiarabu hapo ndo wataishi kwa amani.
kifo hakiharakishwi wala kucheleweshwa...israel lazma wapambane kumuua huyu mwamba ama sivyo mwamba atawau waoKuwa kiongozi wa nchi au kikundi kinachotofautiana na Israel ni kuharakisha kifo chako
Mkuu Yesu Kristo (Mt. 10:28):
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Ya kuwa yote ni ubatili
Fake newsOur beloved Khamenei is very scared of death!Doesn't he like to be merely articulated to the beloved martyrs?You bloody bearded hooligan,come out of your hideout!😂😂😂😂🙏
Sawasawa. Tuelekeze alipo.Fake news