Ayatollah Khamenei atoa agizo zito kuwa Israel ipigwe moja Kwa moja

Na yeye ajiandae tu bikra 72 zinamsubiri.
FaizaFoxy Mumeo anakuja soon huko.
Andaa na wenzio 71.
Afadhali kupata hao mabikira 72,kuliko hao wanaokwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro alivyokwenda kupakatwa.Kuna kidume kinaitwa Ibrahim,anakungoja,ukifika tu,anakupakata,kazi ipo,sio mchezo.
 
Uyo Ayatola asikurupuke, atulie ajiulize mashambulizi yanawezaje kutokea katika mazingira kamayale.

Akiwazavizuri anaweza kugundua hatayeye hayuko salama.
Ajiulize wanao tekeleza mashambulizi haya niwatu hatari kiasihani na nini kinawezesha.

Aache papara, Siajabu huenda akagundua kunamuirani mwenye nafasikubwa na anaeaminika lakini ndio mchora ramani ya mashambulizi kama haya.
 
Safari hii watapita naye, maana hiyo siyo Israel, bali ni USA kupitia Israel na wanatakeleza mipango kiulani bila kujulikana.
 
Watu bado hawajachoka kuona damu inatiririka?
Binadamu yupo kwenye self destruction mode sasa.

Nawachukia HAMAS na BENJAMIN NETANYAU hawa ndiyo wakala wa mauwaaji.
 
Israel huwa hafaagi
Unajuwa Israel ni ma zionist kwa maana wametoka kila sehemu na wana ushawishi mkubwa na vita sio wao tu nyuma yao kwa asilimia kubwa ni USA hapigani peke yake kwa maana kupigana na Israel ni unapigana na USA na washirika wa Magharib. Mimi muislamu ila nikiri shida kubwa ni Iran, hawa wamepandikiza chuki kila sehemu nchi za watu kwa kutumia ushawishi wao vikundi vya kishia. Ni wakati ku support Israel na US kuwaondoa hawa Iran dunia itakuwa na amani hasa mashariki ya kati.
 
Watu hawajifunzi.
Kama waliweza kumuondoa Haniyeh bila madhara kwa raia wengine, Ustaadh Ali Ni Nani ambaye hataonekana? Hatoki nje huyu, hakutani na watu, Hali chakula huyu, na maji je hanywi?
 
Hapa sasa umeongea kama msomi ndugu muislam, ki ukweli Iran inawapandikizia chuki sana waislamu nakuona kwamba wakristo ni adui yenu na hivyo palipo na wakristo mnatamani kuwafuta wote. Hilo ni kosa kubwa kwa sababu adui yetu mkubwa wanadamu ni ibilis shetani. Jamii ya kikristo haitakubali uvamizi wowote ule wa Iran na washirika wake, hivyo kwa kuendelea kutia kiburi watapigwa tu.
 
Hii vita ipo stage mbaya sana maana Wahouth, Hizbollah na sasa Iran wamechachamaa,yaani nawaona US na Europe wapo Standby ,inawezekana ndio tunaelekea kwenye WW III.Rais wa Turkey kasema nae ataingilia kumsaidia Mpalestina,yaani vurugu tupu.
 
Ukristo unahusikaje hapo? Kwani Israel au Marekani ni mataifa ya Kikristo?
Kwani kuna kosa nikijitambulisha kama Mkristo!! Na kuna sehemu katika maelezo yangu, nimeyahusisha hayo mataifa mawili na Ukristo?
 
Hii vita ipo stage mbaya sana maana Wahouth, Hizbollah na sasa Iran wamechachamaa,yaani nawaona US na Europe wapo Standby ,inawezekana ndio tunaelekea kwenye WW III.Rais wa Turkey kasema nae ataingilia kumsaidia Mpalestina,yaani vurugu tupu.
Yani unamuamini Erdogan ndimi mbili?
 
Hii vita ipo stage mbaya sana maana Wahouth, Hizbollah na sasa Iran wamechachamaa,yaani nawaona US na Europe wapo Standby ,inawezekana ndio tunaelekea kwenye WW III.Rais wa Turkey kasema nae ataingilia kumsaidia Mpalestina,yaani vurugu tupu.
Hakuna WWWIII , kuna haya mawili ambao ni utabiri moja wapo kupotea kati ya Iran au Israel mazima ....Dunia haiwezi kupigana vita nyingine na suala hilo halipo ni fikirishi .

Kama wakipigana vita kubwa basi kuna utawala kati wa IRAN au ISRAEL utapinduliwa ....Wananchi wa kule wamchoka vita .
 
Kwani hata hizo WW I na II ilikiwaje,tensions sasa hivi ni kubwa sana.Hata ukisikiliza habari kwenye vyo hivi kubwa wanaki9na kitu kama hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…