mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Ach upumbavu, vatican ndio makao mkuu ya wakatoliki, ulion wpi iran walikuwa na matatizo na vatican. Na nani kakudanganya Israeli ni wakiristo?Hapa sasa umeongea kama msomi ndugu muislam, ki ukweli Iran inawapandikizia chuki sana waislamu nakuona kwamba wakristo ni adui yenu na hivyo palipo na wakristo mnatamani kuwafuta wote. Hilo ni kosa kubwa kwa sababu adui yetu mkubwa wanadamu ni ibilis shetani. Jamii ya kikristo haitakubali uvamizi wowote ule wa Iran na washirika wake, hivyo kwa kuendelea kutia kiburi watapigwa tu.