Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Utadhani yakitokea mapigano hapo atweza kuhimili na uzee huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utadhani yakitokea mapigano hapo atweza kuhimili na uzee huo
Wakati anatoa hotuba yake leo ya Ijumaa, Ayatollah ilionekana pembeni yake kuna bunduki.
Iliashiria nini kwa kiongozi huyu mwenye miaka zaidi ya 80?? Lengo lilikuwa nini?? Kuna wajuzi wa kijasusi humu watatujuza ! Karibuni!
View attachment 3115323
Ali Khamenei standing by a rifle :Reuters
View attachment 3115328
Rifle in his hand, Iran's Supreme Leader warns Israel 'will not last long'
![]()

Ayatollah Ali Khamenei, 85, was seen holding a Russian-made Dragunov rifle while addressing thousands of Iranians as he insisted that Iran would not back down in the face of Israeli aggression.www.indiatoday.in
🤣🤣🤣Mussa apana👀👀👀 Russia na Ukraine nilikusudia ivyo🙏
Wewe ndio una maana dini na siasa havitenganiki chukua hio kama ulikua hujuiKabla ya kufikwa na mauti gaidi Nasrallah naye aliona fahari kutoa hotuba kama hiyo.
Hawa wanajifanya sana kwamba ni viongozi wa kidini lakini wao muda wote wanapiga porojo za kisiasa, hawana maana kabisa.
Unashangaa mwanaume kua na silaha? Ila pdidy kua na chupa buku za mafuta hushangai ?Wakati anatoa hotuba yake leo ya Ijumaa, Ayatollah ilionekana pembeni yake kuna bunduki.
Iliashiria nini kwa kiongozi huyu mwenye miaka zaidi ya 80?? Lengo lilikuwa nini?? Kuna wajuzi wa kijasusi humu watatujuza ! Karibuni!
View attachment 3115323
Ali Khamenei standing by a rifle :Reuters
View attachment 3115328
Rifle in his hand, Iran's Supreme Leader warns Israel 'will not last long'
![]()
Rifle in his hand, Iran's Supreme Leader warns Israel 'will not last long'
Ayatollah Ali Khamenei, 85, was seen holding a Russian-made Dragunov rifle while addressing thousands of Iranians as he insisted that Iran would not back down in the face of Israeli aggression.www.indiatoday.in
Wewe ndio una maana dini na siasa havitenganiki chukua hio kama ulikua hujui
Wewe unaongea vitu gani, Tanzania mbona hatulioni hilo na hatuoni wanaolazimishwa kuvaa hijab au nikab, kila mtu anajivalia apendavyo.Wewe ndio una maana dini na siasa havitenganiki chukua hio kama ulikua hujui
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel.
Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya kwanza baada ya takriban miaka mitano na inakuja siku tatu kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa vita kati ya Israel na Hamas huko Gaza, vilivyoanzishwa na shambulio la kundi la kigaidi la Wapalestina lililoungwa mkono na Iran tarehe 7 Oktoba.
Kiongozi huyo mkuu, ambaye ana mamlaka ya juu kabisa nchini Iran, ataongoza Waislamu katika sala kwenye msikiti mkubwa wa Imam Khomeini Grand Mosalla katikati ya Tehran, kwa mujibu wa tovuti yake rasmi.
Sala hiyo itafuatia "sherehe ya kumbukumbu" saa 4:30 asubuhi kwa Hassan Nasrallah, kiongozi aliyeuawa wa kundi la kigaidi la Hezbollah lenye uungwaji mkono wa Tehran nchini Lebanon.
Walinzi wa Mapinduzi wa Iran, ambao wanamtii Khamenei, walisema mashambulio ya makombora 200 siku ya Jumanne yalikuwa ni kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa Nasrallah pamoja na kamanda wa Walinzi, Abbas Nilforoushan, katika shambulio la mwishoni mwa Septemba huko Beirut, na kuuawa kwa kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, huko Tehran mnamo Julai.
Khamenei mara ya mwisho aliongoza sala ya Ijumaa mwezi Januari 2020 baada ya Iran kufyatua makombora kwenye kambi ya jeshi la Marekani nchini Iraq, kufuatia shambulio lililomuua kamanda mashuhuri wa Walinzi wa Mapinduzi, Qassem Soleimani.
===================================================
Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei is set to lead Friday prayers and deliver a public sermon that could shed light on the Islamic Republic’s plans after a massive missile attack on enemy Israel.
Khamenei’s rare Friday sermon — a first in almost five years — comes three days before the one-year anniversary of the Israel-Hamas war in Gaza, triggered by the Iran-backed Palestinian terror group’s October 7 attack.
The supreme leader, who wields the highest authority in Iran, will lead Muslims in prayer at the Imam Khomeini Grand Mosalla mosque in central Tehran, his official website says.
The prayer will follow “a commemoration ceremony” at 10:30 a.m. local time for Hassan Nasrallah, the slain leader of Tehran-backed Lebanese terror movement Hezbollah.
Iran’s Revolutionary Guards, who answer to Khamenei, said Tuesday’s barrages of some 200 missiles were in retaliation for Israel’s killing of Nasrallah alongside Guards commander Abbas Nilforoushan in a late September strike on Beirut, and of Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran in July.
Khamenei last led Friday prayers in January 2020 after Iran fired missiles at a US army base in Iraq, in response to a strike that killed revered Revolutionary Guards commander Qassem Soleimani.
Wewe unaongea vitu gani, Tanzania mbona hatulioni hilo na hatuoni wanaolazimishwa kuvaa hijab au nikab, kila mtu anajivalia apendavyo.
Nikikwambia huna akili unaweza ukasema nakutukanaWewe unaongea vitu gani, Tanzania mbona hatulioni hilo na hatuoni wanaolazimishwa kuvaa hijab au nikab, kila mtu anajivalia apendavyo.
Nonsense.Nikikwambia huna akili unaweza ukasema nakutukana
Kwani Tanzania minaa kinu Cha kurutubishia nyuklia?
Huna unalojua wewe hapo israel muda si mrefu patakuja kutawanyika hivyo ni vita vilivyotabiria tang na tangu issa bin maryam ambae mnamwita yesu atakua upande wa waislam na dajjal bae ant crist atakua upande wa kina nyetanyahu sasa hapo ndio patakua patamHii ni hotuba ya mwisho ya kilemba.hata gaidi nasra alivyotoa hotuba tu next game akawa majivu ..kilemba nae anapita mulemule ili maandiko yatimie pumbafuuu zake
Yeye Afanye tu hiyo dawaa yake Israel wanamzu tu. Na yeye inakuwa kama mwenzie Sinwar. Sinwar before and Sinwar afterWadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel.
Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya kwanza baada ya takriban miaka mitano na inakuja siku tatu kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa vita kati ya Israel na Hamas huko Gaza, vilivyoanzishwa na shambulio la kundi la kigaidi la Wapalestina lililoungwa mkono na Iran tarehe 7 Oktoba.
Kiongozi huyo mkuu, ambaye ana mamlaka ya juu kabisa nchini Iran, ataongoza Waislamu katika sala kwenye msikiti mkubwa wa Imam Khomeini Grand Mosalla katikati ya Tehran, kwa mujibu wa tovuti yake rasmi.
Sala hiyo itafuatia "sherehe ya kumbukumbu" saa 4:30 asubuhi kwa Hassan Nasrallah, kiongozi aliyeuawa wa kundi la kigaidi la Hezbollah lenye uungwaji mkono wa Tehran nchini Lebanon.
Walinzi wa Mapinduzi wa Iran, ambao wanamtii Khamenei, walisema mashambulio ya makombora 200 siku ya Jumanne yalikuwa ni kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa Nasrallah pamoja na kamanda wa Walinzi, Abbas Nilforoushan, katika shambulio la mwishoni mwa Septemba huko Beirut, na kuuawa kwa kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, huko Tehran mnamo Julai.
Khamenei mara ya mwisho aliongoza sala ya Ijumaa mwezi Januari 2020 baada ya Iran kufyatua makombora kwenye kambi ya jeshi la Marekani nchini Iraq, kufuatia shambulio lililomuua kamanda mashuhuri wa Walinzi wa Mapinduzi, Qassem Soleimani.
===================================================
Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei is set to lead Friday prayers and deliver a public sermon that could shed light on the Islamic Republic’s plans after a massive missile attack on enemy Israel.
Khamenei’s rare Friday sermon — a first in almost five years — comes three days before the one-year anniversary of the Israel-Hamas war in Gaza, triggered by the Iran-backed Palestinian terror group’s October 7 attack.
The supreme leader, who wields the highest authority in Iran, will lead Muslims in prayer at the Imam Khomeini Grand Mosalla mosque in central Tehran, his official website says.
The prayer will follow “a commemoration ceremony” at 10:30 a.m. local time for Hassan Nasrallah, the slain leader of Tehran-backed Lebanese terror movement Hezbollah.
Iran’s Revolutionary Guards, who answer to Khamenei, said Tuesday’s barrages of some 200 missiles were in retaliation for Israel’s killing of Nasrallah alongside Guards commander Abbas Nilforoushan in a late September strike on Beirut, and of Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran in July.
Khamenei last led Friday prayers in January 2020 after Iran fired missiles at a US army base in Iraq, in response to a strike that killed revered Revolutionary Guards commander Qassem Soleimani.
Hii fiction umeitoa wapi Imam.🤣🤣🤣🤣Huna unalojua wewe hapo israel muda si mrefu patakuja kutawanyika hivyo ni vita vilivyotabiria tang na tangu issa bin maryam ambae mnamwita yesu atakua upande wa waislam na dajjal bae ant crist atakua upande wa kina nyetanyahu sasa hapo ndio patakua patam