Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Sema hizi dini bhana kwaiyo haji ni ya matajiri tu? Kwamba kwenye zile nguzo zipo zingine zinatumiwa na wenye uwezo tuAyatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
We unajua wasifu wa uislam hadi kufika sasa na misingi yake?je wewe unaujua uislamu kuliko Ayatollah?
Nimewahi kukutana na jamii ya waislam huko Tanga wanajiita twariqa qadiriya, wao misikiti yao haina upande wa jinsia ya kike ni hall tu
Kwao mwanamke haingii kabisa msikitini wanadai mwanamke hairuhusiwi kuswalia masjid, na hata kufunga na kufungua mwezi ramadhan kuna tofauti na hawa wengine
Na huwa hawafuati maagizo ya mufti wanadai BAKWATA ni taasisi ya serikali, niliiswali nao mda fulani na nikajiridhisha wao ni waIran na misaada yao mingi inatoka Iran
Nadhani kuna namna Iran huionea wivu Saudia kupokea mahujaji kwa kuwa inapata fedha nyingi sana za kigeni "inawezekana ni kweli Saudia walibuni mbinu"
We unajua wasifu wa uislam hadi kufika sasa na misingi yake?
Sisi mbuga hazipo kwenye maandishi, wao wameweka kwenye kitabu kuwa ni nguzo ya dinisaudi arabia hawajabuni mbinu ila wamebahatika na historia ya uislam kuanzia kwao, hivyo wametuma vizuri bahati hiyo kuja kujineemesha mbeleni.
ni kama TANZANIA tulivyobahatika kujikuta mbuga za wanyama na mlima kilimanjaro upo tanzania, hivyo tunapiga hela za watalii wanaokuja kutazama mbuga na mlima huo.. hapo huwezi kusema Tanzania tumebuni mbinu
Sasa kama Mwijaku na Haji Manara nao walishaenda Hija umuhimu uko wapi?!
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Sisi mbuga hazipo kwenye maandishi, wao wameweka kwenye kitabu kuwa ni nguzo ya dini
Ayatollah ni Shia Mimi ni Answar.mimi sijui na sijawai kuwa muislamu, wewe jibu swali langu, je wewe unaujua uislamu kuliko Ayatollah ?
Uislamu uko kwenye Qur an na sunnah ,shia na wengine wanaita madhehebu si sehemu ya uislamu...Hakuna neno shia ,sunni wanasema wanatokana neno sunnah (wanaofuata sunnah) ..je wewe unaujua uislamu kuliko Ayatollah?
Sio lazima 🤣🤣🤣kwani kama hauna ujitese , uislamu ni rahisi sana ..Ibada ziko nyingi ..Kuna kipind mwanamke hatakiwi kuswali akiwa kweny hedhi wala kufanya ibada nyingine...Ukiwa safari, mgonjwa ,mzee sana ,una mimba au kunyonyesha hautakiwi kufungaSema hizi dini bhana kwaiyo haji ni ya matajiri tu? Kwamba kwenye zile nguzo zipo zingine zinatumiwa na wenye uwezo tu
Mi sipo kishabiki hapa, ukitaka kuamini nililozungumza nenda ka google ndo utajua, HIJA ipo kwenye nguzo tano za uislam, ila kwa kuwa ayattolah yupo kinyume na sunni ndo maana anahoji km hivyo, Kuikana nguzo ya HIJA ni sawa na itokee mkristo aikane moja ya amri ktk amri kumi, lazima utapata mshangao.Haya sasa! Mnaanza kurukana!
Usichojua ni kuwa km haujatekeleza nguzo hajj kwa kuwa hauna uwezo na kweli ikawa hauna mungu anajua ukweli, ila km alikujalia mali na haukwenda hajj hiyo umefanya kusudi na ikifika wakati utaulizwa nilikujalia mali wewe, ulifanyia nini mali yako?.Sema hizi dini bhana kwaiyo haji ni ya matajiri tu? Kwamba kwenye zile nguzo zipo zingine zinatumiwa na wenye uwezo tu
Kumbe! 🤔Usichojua ni kuwa km haujatekeleza nguzo hajj kwa kuwa hauna uwezo na kweli ikawa hauna mungu anajua ukweli, ila km alikujalia mali na haukwenda hajj hiyo umefanya kusudi na ikifika wakati utaulizwa nilikujalia mali wewe, ulifanyia nini mali yako?.
Kila mda mwenye uwezo anapaswa kwenda ili mladi tu asiwe majunun, kinachoangaliwa ni nia, kama ulienda kwa ajili ya ibada mungu anajua, na km ulienda tu kwa ajili wakuone watu mungu anajua.Sasa kama Mwijaku na Haji Manara nao walishaenda Hija umuhimu uko wapi?!
Wewe ndo mpumbavu kwa sababu ya uislamu unaoujua wewe!Usiwe mjinga kutoa hitimisho pasi na kujua nini unazungumzia.
Iran asilimia kubwa ni Shiite/shia.
Na asilimia 90 ushia ni sawa na ukafiri nyuma ya pazia na hilo liko wazi.
Usihusishe masuala ya kisiasa za kimataifa ya Iran na dini Wacha UPUMBAVU HUO.
Nguzo za uislam ni Tano.
1.Shahada.
2.Swalah
3.Zakah.
4.Swaum
5.Hijjah
Hilo lipo dunia nzima akipinga Iran ama Ayatollah Khomeini haimaanishi mawazo yake yafuatwe.
Ona fala mwingine kaja kuropoka huku.Wewe ndo mpumbavu kwa sababu ya uislamu unaoujua wewe!
Naendelea kukazia, wewe ndo kafiri na uisilam wako wa kijingaOna fala mwingine kaja kuropoka huku.
Duh!...kwa hiyo washia wa Iran sio waislamu?Usiwe mjinga kutoa hitimisho pasi na kujua nini unazungumzia.
Iran asilimia kubwa ni Shiite/shia.
Na asilimia 90 ushia ni sawa na ukafiri nyuma ya pazia na hilo liko wazi.
Usihusishe masuala ya kisiasa za kimataifa ya Iran na dini Wacha UPUMBAVU HUO.
Nguzo za uislam ni Tano.
1.Shahada.
2.Swalah
3.Zakah.
4.Swaum
5.Hijjah
Hilo lipo dunia nzima akipinga Iran ama Ayatollah Khomeini haimaanishi mawazo yake yafuatwe.