Hayo ni mawazo yako mkuu, tena kwa kuwa sio imani yako,ila kwangu mimi kwa kuwa hajj imeandikwa kwenye quran na naamini ni maneno ya mungu basi naifuata quran km muongozo, siwezi kuungana na ayatollah kuya challenge maneno ambayo naamini ni amri ya mungu maana labda yeye haamini quran hii ana quran yake, mimi kwangu kupingana na amri za mungu ni tabia za shetani maana alianzaga hivyo hivyo mpaka akafukuzwa na mungu, nasisitiza kuwa quran ni muongoza wangu sitafuata maneno tupu ya mtu ambayo hayapo kwenye muongozo,maana leo amesema hili kesho anaweza akaamka tu kwa utashi wake akasema kutoa sadaka ni wizi na kuzidi kunipotosha!.