SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Umesahau na Chandarau boss... 😀 😀... Tunaita MSAADA na MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU wakati ni hela zetu zimerudishwa kwa njia zingine..Kama unaona ni tourism attraction na wewe anzisha yako upige hela
Hizo ni chuki na UISLAMU tu, wazungu wanakuja kupiga pesa hapa hapa bongo kwa kuiba madini, gas, mikata ya hivyo nk Kisha anawaletea ARV na Kondom za msaada mbona hamuongei?
Kwa kuwa imekuwa ni UISLAMU pamoja na kuwa haukupunguzieni Chochote ila kelele nyingi kama mmebanwa kende zenu
Yaani tunajisaidia na kujikopesha wenyewe huku wao tukiwalisha FAIDA.