Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Dini ya Wahadzabe ni bora mala elfu kupita Uislamu:
Hawaui mtu kwakuwa tu sio mhadzabe
 
Wanauana kwa tamaa zao za mali na sio kwa amri ya Mungu wao?

Hivi kuua mtu kwakuwa haamini Kiyama ndio akili gani hiyo?

Kama sio utaahira

(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na
wasio muamini Mwenyezi Mungu
wala Siku ya Mwisho,
wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume,
wala hawashiki Dini ya Haki,
miongoni mwa walio pewa Kitabu,
mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
......
Hizo ni akili au matope
Kwa akili yako ya kuvukia barabara utashangaa

Inabidi na wewe uulizwe kwa nini uchinje kuku, ng'ombe nk kosa kula?

Kwani wao sio viumbe? Hawaumii

Kwa Mungu wewe na kuku wote ni viumbe tu
 
Kwa akili yako ya kuvukia barabara utashangaa

Inabidi na wewe uulizwe kwa nini uchinje kuku, ng'ombe nk kosa kula?

Kwani wao sio viumbe? Hawaumii

Kwa Mungu wewe na kuku wote ni viumbe tu
Umeambiwa upigane na mtu yoyote asiye kuwa Mwislamu:
Au asiye mkubali tapeli Muhammadi:
 
Nenda kawe muhadzabe

Hushangai mtu anauliwa kosa kaua ila kumkataa Mungu unaona jambo dogo
Kama akimkataa Mungu wako ndio umuuwe wewe ?
Huyo Mungu wako hawezi kumwadhibu yeye mwenyewe?

Mimi Mungu Allah simkubali kabisa;
Kwahiyo uniadhibu wewe au Allah mwenyewe ?

Mimi Simkubali Allah kwakuwa hajanithibitishia mimi kuwa yeye ni Mungu:
Na hilo daftari lako sijawahi hata kuliona:
Njoo uniuwe sasa umridhishe huyo tapeli Allah:
 
[ AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri:

Mungu Allah hawataki wasio Waislamu:
Mwulize ni kwanini aliwaumba?
Au alitaka awanyonye damu kama chakula chake?
Yesu kwa nini aliwaumba waislamu wanaompinga ?

Che mittoga Quran sifa yake inazungumza na wenye akili sikutaka kuquote uharo wako hapo juu lakini nataka nikujibu sehem ndogo nilyokuwa interest nayo maana stori Yako nimesoma mwanzo na mwisho tu kati unajua mwenyewe umesema unataka aya ambayo Allah anampa utume Muhammad ili tukusilimishe, Quran hakuandikwa kam unavotaka wewe lakini Kwa mwenye akili hatumii ngu kuelewa mfano

Quran 73:15 hakika sisi tumemtuma mtume kwenu aliyeshahidi juu yenu Kama tulivyo mtuma mtume Kwa Firauni.

Quran 48:29 Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu.

Quran 33:40 Muhammad sio baba yenu au jamaa yenu ni Mtume wa Allah na ni wa mwisho(hatakuja mwingine)

Quran 38:29 na hiki kitabu tumekuteremshia wewe,Kimebarikiwa na wazizingatie aya zake, na Wawaidhike wenye akili.

Kama una masikio utaifuata haki
 
Yesu kwa nini aliwaumba waislamu wanaompinga ?

Waislamu mnampinga Yesu au Isa?
 
Che mittoga Quran sifa yake inazungumza na wenye akili sikutaka kuquote uharo wako hapo juu lakini nataka nikujibu sehem ndogo nilyokuwa interest nayo maana stori Yako nimesoma mwanzo na mwisho tu kati unajua mwenyewe umesema unataka aya ambayo Allah anampa utume Muhammad ili tukusilimishe, Quran hakuandikwa kam unavotaka wewe lakini Kwa mwenye akili hatumii ngu kuelewa mfano

Quran 73:15 hakika sisi tumemtuma mtume kwenu aliyeshahidi juu yenu Kama tulivyo mtuma mtume Kwa Firauni.

Quran 48:29 Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu.

Quran 33:40 Muhammad sio baba yenu au jamaa yenu ni Mtume wa Allah na ni wa mwisho(hatakuja mwingine)

Kama una masikio utaifuata haki
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu.
Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.
"Nasi" tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume.
Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
......
Ovu lipi alilo lifanya Muhamadi?
"Nasi" ni akina nani ?
Allah ni shahidi wa jambo gani ?

"Nasi" ni Majini:
(AL - JINN - 8)
"Nasi" tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
(AL - JINN - 12)
"Nasi" tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia:
(Ndio waliomtuma mtume)
 
Ovu lipi alilo lifanya Muhamadi?
Nasi ni akina nani ?
Allah ni shahidi wa jambo gani ?
1. Muhammad Saw alikua binadamu hivyo Kuna makosa madogo madogo aliwahi kuteleza Kama alivyo haramisha Asali Mungu akamkanya Hilo ni kosa alijivika mamlaka ambayo si yake

2. Genesis 1:26 Let us make man in our image, after our likeness. Who is Our? Nafikiri ukijibu na Mimi ntapata mwanga

3. Allah ni shahidi Kwa watu wote Kwamba ujumbe umetufikia hivyo siku hiyo mahakamani hutaisumbua mahakama matendo yote Yako rekoded au hujui Kama Kuna mahakama inatusubiri?
 
hija ndio mgodi wa saudi arabia kupiga pesa.

saudi arabia hawawezi kukubali hija ifutike.. maana mafuta watu hawanunui sana kama zamani yanakuwa replaced na magari ya gesi na umeme
Na sisi tuanzishe tupige mpunga Vatcan,watu wetu walivowatiifu hata wakiambiwa mwaka mara nne watsenda.
 
1. Muhammad Saw alikua binadamu hivyo Kuna makosa madogo madogo aliwahi kuteleza Kama alivyo haramisha Asali Mungu akamkanya Hilo ni kosa alijivika mamlaka ambayo si yake

2. Genesis 1:26 Let us make man in our image, after our likeness. Who is Our? Nafikiri ukijibu na Mimi ntapata mwanga

3. Allah ni shahidi Kwa watu wote Kwamba ujumbe umetufikia hivyo siku hiyo mahakamani hutaisumbua mahakama matendo yote Yako rekoded au hujui Kama Kuna mahakama inatusubiri?
Kwahiyo Allah ni Adui wa Malaika Jibrili?
[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema:
Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu,
inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
.....
Makosa ya Muhamadi yanajulikana:
Yanapatikana kwenye Hadithi za mtume:
Alivunja Amri zote kumi za Torati:
Kama kuna amri yoyote ya Totati hakuivunja tutajie hapa nikuoneshe alipo ivunja:

Halafu eti Nabii Musa ni Mwichilamu:
 
Ndugu nguzo za Uislam hazija tajwa zote Kwenye aya Moja lakini Kuna nguzo mbili ambazo huwa zinatajwa Kwa pamoja kutokana na ulazima wake na umuhimu Kwa waja

1. Shahada, Quran 3:18
2, sala na zaka Quran 2:43,2:110,62;9
3.zaka, Quran 2:43, ziko aya 26 zilizotaja zaka
4.swaum 2:183
5.haji 3:47

Nazimejirudia zipo nyingi na ni lazima Kwa muumini kuzishika hizo
Kwahiyo sio Allah aliyesema kuwa kuna Nguzo tano za Uislam ni uamuzi tu wenu kumpangia Allah baada ya kuona alisahau kuwaambia hiz nguzo? na kama hivyo vingine havina umuhimu?

According to Quran Allah Aya 11:114 amesema Mfanye Salat mara 3 nyie kwanini mnafuata walimu wa Dini mnaswali mara 5? Mnamuabudu Allah au Mtume wenu

Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.

Allah anasema Christian and Jews wanawaabudu Walimu na viongozi wa dini badala ya Kumuabudu Yesu na Allah...

Hii Aya Quran 9:31
ٱتَّخَذُوٓا۟ أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَـٰنَهُمْ أَرْبَابًۭا مِّن دُونِ ٱللَّهِ وَٱلْمَسِيحَ ٱبْنَ مَرْيَمَ وَمَآ أُمِرُوٓا۟ إِلَّا لِيَعْبُدُوٓا۟ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا ۖ لَّآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَـٰنَهُۥ عَمَّا يُشْرِكُونَ ٣١

inaonekana ipo vive versa na uongo ni kutusingizia kuhusu walimu na viongozi Hatuwaabudu ila kwa Yesu yes Tunamuabudu, kama Aya ilivyosema, Kiukweli tunakuta Waislam ndio wanawabudu Walimu na viongozi Aliyayasema Allah hayafuatwi yanafuatwa ya Walimu na Viongozi hata FATWA ndio matokeo ya hiyo Aya kwa Wailslam Wamempiga teke Allah siku nyingi.

Hata Quran wameikusanya wenyewe na kuipanga wanavyojua wenyewe Aya ya kwanza ilikuwa ni Al-Alaq Mtume alipoambiwa Asome kwenye book imeweka ya 96 japo hajui kusoma na wala hakikuwa kitabu story ya ubunifu usio na akili. eti Malaika Jibril akamkwida mara tatu anamuambia soma jamaa mudy hajui kusoma na muambia njemba ya Allah sijui kusoma badala ya kumuambia nisome wapi wakati unaniambia nitamke. uongo tu jazzband maisha yaende.

And Pia prove uislam ni fake ni kuwa Wakina Allah ndio walisema ni kazi yao kuipanga Quran, 75:17 إِنَّ عَلَيْنَا جَمْعَهُۥ وَقُرْءَانَهُۥ ١٧ (Indeed, upon Us is its collection and its recitation.) lakini Uthman ndio alifanya hiyo kazi na quran zingine 6 akazichoma moto..

so Quran isiyo na makosa ya Allah itatoka lini maana bado yeye na wenzake wanaikusanya bado tuisome maana hii ya Uthman ni full vichekesho na contradiction haieleweki hata kwa waarabu wenyewe kila aya inatafsir wakati Allah alisema hii Quran imeshuka kwa kiarabu na kwa waarabu ikiwa ina full detail na inaeleweka... ''but'' ukiisoma haieleweki ukiwauliza waislam why haieleweki wanakuambia ni miracles ya Allah and mtume knows best hahahahaha

Ukisoma Quran unakuta Allah hajui kitu mbumbumbu mwarabu wa reli. bythe way alisema ukikuta kwenye Quran maneno yanayojichanganya na kupingana ujue hiyo sio Quran ya Allah, Quran 4:82 sasa Quran from page to page inajichanganya yenyewe nauliza Quran ya Allah ipo wapi?

Allah alijua mtakuja mzodoa mkipata akili so akajitoa hata aya za Shetani za Kuwabudu kwa watoto mabinti zake watatu wa Allah Al uzza,Manat na Al lat alisema sio zake ataziondoa lakini hadi leo zipo bila kusahau Hijja, Mudy allsema eti Iblis alikuja kwa sura ya Jibril.. Allah alikasirika nadhani ndio sababu ya kusema Mwamedi ndie Mtume wake wa Mwisho maana vituko vya binadamu amekoma...hahahahaha

Swaumu imetoka kwa Dini Sabians and uislam haujui why wanafunga na kwa sababu ya nini wao mbele kwa mbele tu imefikia hadi kusema eti shetani huwa anafungwa minyororo mwezi huo... According to Quran waliambiwa wafuate waliotangulia kupewa kitabu so wafunge issue inakuja waliotangulia kupewa kitabu wayahudi hawakufunga mwezi mzima and sio kufuata mwezi wa sabian ndio wanaabudu Nyota na Mwezi hata jinsi ya kuswali ndio wanafuata mwezi wa ramadhani ila wanaabudu hizo sayari so Allah nae ni Mwezi? proof zipo

Hija nazo ni ibada za kipagani so mkiambiwa mfuate waliowatangulia sasa hadi kaaba jiwe la wapagani nazo hizo ibada mnazifuata and mnajiita mnafuata Mungu wa Wayahudi hahahaha
 
vitabu waliwekewa na babu zao kabla saudi arabia haijazaliwa.. unajua makka wanahiji toka maelfu ya miaka yaliyopita, ila nchi ya saudi arabia haijazidi miaka 100 toka kuanzisha kwake
Islam haina miaka maelfu ni 1400 tuu, hata ukristo na china civilization viilikuwepo kabla ya uislam
 
Usiwe mjinga kutoa hitimisho pasi na kujua nini unazungumzia.
Iran asilimia kubwa ni Shiite/shia.
Na asilimia 90 ushia ni sawa na ukafiri nyuma ya pazia na hilo liko wazi.
Usihusishe masuala ya kisiasa za kimataifa ya Iran na dini Wacha UPUMBAVU HUO.

Nguzo za uislam ni Tano.
1.Shahada.
2.Swalah
3.Zakah.
4.Swaum
5.Hijjah

Hilo lipo dunia nzima akipinga Iran ama Ayatollah Khomeini haimaanishi mawazo yake yafuatwe.
doh basi kumbe ndio maana nilikosaga scholarship za uarabuni niliulizwa uislamu una nguzo ngapi? mimi nikasema inategemeana na ukubwa wa msikiti
 
Sa we unaona Ayatollah hata Arkan Al Islam hazijuu 😄 🤣

View: https://youtu.be/hzM3KN6j7kQ?si=Ibg7PNA99xYhIdLt

1. Hiyo video ni ya Uongo mtupu Kuna Aya inasema There is no God but God? basi Shahada ni ujinga aya ipo wazi Allah amesema hakuna Mungu ila Allah = Allah ni Jina tu sio Mungu ndio maana mnasema Bismillah in the name of lah
and hiyo Shahada wenzeni wanawaambie huwezi ku assossiate Allah na kitu kingine ambacho mmemuweka Mudy so ni Shirki
2. Imesema eti Mudy alisema muite watu waswali Adhan hilo hakusema yeye bali ni Abdullah ibn Zaid eti aliota ndotoni maana mudy aliulizwa tutawaitaje watu wajua mda wa kuswali tayari wakataka nao wapige kengere akasema za Wakristo hatuwezi fanana nao,Vuvuzela je akakataa akasema ni za Wayahudi, Kesho yake Abdullah ibn Zaid akasema usiku ameota ndoto kuwa waite kwa kupayuka Mudy akajikausha kwa siku 20 kisha akamuambia mtumwa wake Bibal payuka kama Adullah ibn Zayd anavyokuamlisha.. Bilal bila hiyana akaanza adhan kutamka kama alivyoamrishwa. so hiyo video kanjanja.

3. Kuswali Ijumaa lazima kwasabau waarabu waliacha kuswali sababu Wayahudi matajili wa Medina na mecca wenye miji yao ilikuwa ikifika ijumaa wanaffunga maduka mapema kujiandaa na Sabato and Jumamosi hawafungui kabisa maduka wa migahawa,, Waislam wakaona njia bora ya shopping ni ijumaa tu maana wakifail jumamosi wanashinda njaa, hata time za kuswali zikawa hamna... Mudy akaona analoose mpango wake akatoa aya kuwa ijumaa ni lazima.. kwa akili ya kawaida haina mantiki maana Waislam wanaswali mara tano kwa siku kila siku why ijumaa iwe spesho jibu ndio hilo wayahudi walisababisha.. na ni moja ya visa ambavyo Mudy aliwachukia sana wayahudi akaamua hadi kupandikiza chuki hadi leo.

4. Zaka ndio hizo mashehe wenu wanalalamika misikitini kila siku
5 Ramadhani ni from Sabian na Mudy alikuwa ni Sabian na alikuwa maarufu ndio maana alicopy vingi na alisema wasabian wataenda Jennah pia.

Baqarah 2:26 — Indeed, those who believed and those who were Jews or Christians or Sabians - those ˹among them˺ who believed in Allah and the Last Day and did righteousness - will have their reward with their Lord, and no fear will there be concerning them, nor will they grieve..

(Incident 1) In the narration of ʿImrān b. Huṣayn, it is mentioned that they were on a journey with the Prophet ﷺ, and their water ran out. They sought water and met a woman between two hills with a camel. They said to her, "Go to the Messenger of Allah." She replied, "You mean the one known as the Sabian?" They confirmed that it was him. This hadith narrates the miracle of the abundance of water.
 
We tatizo lako hujui unacho ongea wapi Qur'an imesema hakuna Mungu. Aya iko wazi hakuna Mungu mwingine isipo kuwa ni Mungu peke yake. Hapo imekusudia wanao abudu masanamu au binadamu mfano wewe una muabudu Yesu afu unasema Yesu ndio Mungu. Sa swali Yesu kama ndio 1=3 wakati alipo kuja kupiga story duniani nani alikuwepo mbinguni? Au alihamia kabisa duniani akawacha mbingu peke yake? Afu swali Mungu wenu kumbe mdogo sana navyo fahamu mimi Mungu kabla ya kumba Dunia na Mbingu alikuwepo sa aliishi wapi? Hebu tumia alili kidogo basi ujibu hilo swali.

Unasema Qur'an inasema those who believed and those who were Jews or Christians or Sabian will have their reward with their Lord, and no fear will there be concerning them nor will they grieve. It refers to original Christians Jews and followers of Prophet David , who followed their respective prophets. By one account Sabians were followers of Prophet David to whom Psalms was revealed. by another account they were not a follower of any particular religion but believed in a Supreme Being and the Day of Judgement. This verse definitely does not apply to Jews, Christians etc that came after Prophet Muhammad. Now Islam is the only way to heaven. Several verses in Qur'an and many hadiths make it clear.

Hizo Story zingie za kutunga au kuleta fake hadithi zisizo kubaliana na Qur'an ni kupoteza mda tu. Hazitakusaidia lolote sababu zimetengenezwa kanisani pamoja na Mayahudi hazikubalikl kwenye Uislam.
 
Shida mnadandia gari kwa mbele

Hizo ni elimu ambazo zinatakiwa kusomwa na sio kusikia sikia tu

Ukiulizwa hayo makundi yanatofautiana vipi hujui
Sasa mi na wewe nani kafandia kwa mbele?

Nimemuuliza jamaa hao ni akina nani kwani siwajui we umekuja kwa shobo. Achkushobokea watu utapigwa mkuyenge dogo.
 
Back
Top Bottom