Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Huo ni upumbavu wako tu

Katika UISLAMU mtanzania anaweza kuwa mbora kuliko mwarabu wa Makkah

Tena imekuja Aya kabisa katika suratul HUJURAT
Yaani we mzigua wa Dibamba utakuwa vizuri kwenye mila za waarabu kuliko waarabu wenyewe?😁😁😁
 
Hata hivyo maka ni upigaji tu ukichunguza ni kama utalii tu,chunguza halafu jiongeze why kiwango cha gharama kiwepo ??!!
Hayo ni mawazo yako mkuu, tena kwa kuwa sio imani yako,ila kwangu mimi kwa kuwa hajj imeandikwa kwenye quran na naamini ni maneno ya mungu basi naifuata quran km muongozo, siwezi kuungana na ayatollah kuya challenge maneno ambayo naamini ni amri ya mungu maana labda yeye haamini quran hii ana quran yake, mimi kwangu kupingana na amri za mungu ni tabia za shetani maana alianzaga hivyo hivyo mpaka akafukuzwa na mungu, nasisitiza kuwa quran ni muongoza wangu sitafuata maneno tupu ya mtu ambayo hayapo kwenye muongozo,maana leo amesema hili kesho anaweza akaamka tu kwa utashi wake akasema kutoa sadaka ni wizi na kuzidi kunipotosha!.
 
Kuna waislam wengine wengine wanampinga Mtume

Yes, there are individuals and groups who identify as Muslim but reject the prophethood of Muhammad or certain aspects of his teachings. These groups often have divergent beliefs that set them apart from mainstream Islam. Here are a few examples:

### 1. Quranists (Quraniyoon)
- Some Muslims reject the authority of Hadith and Sunnah, believing that the Quran alone should be the source of Islamic law.
- While they do not necessarily "reject" Muhammad as a prophet, they dismiss much of the traditional narrative about his life and teachings outside the Quran.

### 2. Ahmadiyya Movement (considered heretical by many Muslims)
- Mainstream Sunni and Shia Muslims often reject Ahmadiyya beliefs because they recognize Mirza Ghulam Ahmad (d. 1908) as a prophet or messiah, which contradicts the mainstream Islamic belief that Muhammad was the final prophet.
- Some Ahmadis, however, still revere Muhammad while also accepting Mirza Ghulam Ahmad’s claims.

### 3. Liberal/Reformist Muslims
- Some progressive Muslims reinterpret or reject certain aspects of Muhammad’s life, particularly his political and military actions, while still accepting him as a spiritual leader.
- A very small minority may even question his prophethood entirely, focusing instead on a more humanistic or metaphorical understanding of Islam.

### 4. Ex-Muslims (Cultural Muslims)
- Some people born into Muslim families no longer believe in Islam but may still identify culturally as Muslim.
- They may reject Muhammad’s prophethood entirely, viewing him as a historical figure rather than a divine messenger.

### 5. Historical Sects (e.g., Some Early Kharijites & Extreme Shi'a Groups)
- Certain early Islamic sects, like some factions of the Kharijites, held extreme views that led them to reject mainstream interpretations of Muhammad’s successors.
- Some fringe Shi’a groups (Ghulat) elevated Ali or other figures to near-divine status, sometimes downplaying Muhammad’s role.

### Mainstream Islamic View
Traditional Sunni and Shia Islam consider belief in Muhammad’s prophethood a fundamental tenet of faith. Rejecting him would place someone outside the fold of Islam in the eyes of most scholars.
 
Mashia ni Waislamu au siyo Waislamu?
Mleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
 
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407

Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.

Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19

Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.

Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam

Ardhi takatifu imenajisiwa sana na makafir. Kuna namna mbadala unatafutwa.
 
Ayatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.

Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji

Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Ingekua inafanyia kwenye nchi yake asingesema hayo. Ila maeneo ya hija hayapo Iran anataka kuwaaminisha watu ujinga wake
 
Utali kama utalii mwingine...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
 
Huo ni upumbavu wako tu

Katika UISLAMU mtanzania anaweza kuwa mbora kuliko mwarabu wa Makkah

Tena imekuja Aya kabisa katika suratul HUJURAT
Hakuna kitu kama hicho.
Katika Uislam Mwarabu ni bora kuliko Mmatumbi au Mpogoro.

Tunasimama na Ayatollah full stop.
 
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407

Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.

Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19

Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.

Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam

Huu uzi wote unastahiki kufutwa kwa sababu muanzilishi hana uwezo wa kupembua kilichoandikwa.Ameleta tafsiri ya uongo.Hajui mtazamo wa waislamu kuhusu siasa.Anafikiria siasa kwa mtazamo wa Chadema na CCM
Anachosema Ayatollah ni kweli.Hakuna kuzuia siasa kwenye ibada ambayo muumba alikusudia iwe ni kwa ajili ya siasa.
Anataka Saudia wamuachie yeye aingize siasa iwapo wao hawajajua umuhimu wa ibada hiyo.
 
Kwahiyo sio Allah aliyesema kuwa kuna Nguzo tano za Uislam ni uamuzi tu wenu kumpangia Allah baada ya kuona alisahau kuwaambia hiz nguzo? na kama hivyo vingine havina umuhimu?

According to Quran Allah Aya 11:114 amesema Mfanye Salat mara 3 nyie kwanini mnafuata walimu wa Dini mnaswali mara 5? Mnamuabudu Allah au Mtume wenu

Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.

Allah anasema Christian and Jews wanawaabudu Walimu na viongozi wa dini badala ya Kumuabudu Yesu na Allah...

Hii Aya Quran 9:31
ٱتَّخَذُوٓا۟ أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَـٰنَهُمْ أَرْبَابًۭا مِّن دُونِ ٱللَّهِ وَٱلْمَسِيحَ ٱبْنَ مَرْيَمَ وَمَآ أُمِرُوٓا۟ إِلَّا لِيَعْبُدُوٓا۟ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا ۖ لَّآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَـٰنَهُۥ عَمَّا يُشْرِكُونَ ٣١

inaonekana ipo vive versa na uongo ni kutusingizia kuhusu walimu na viongozi Hatuwaabudu ila kwa Yesu yes Tunamuabudu, kama Aya ilivyosema, Kiukweli tunakuta Waislam ndio wanawabudu Walimu na viongozi Aliyayasema Allah hayafuatwi yanafuatwa ya Walimu na Viongozi hata FATWA ndio matokeo ya hiyo Aya kwa Wailslam Wamempiga teke Allah siku nyingi.

Hata Quran wameikusanya wenyewe na kuipanga wanavyojua wenyewe Aya ya kwanza ilikuwa ni Al-Alaq Mtume alipoambiwa Asome kwenye book imeweka ya 96 japo hajui kusoma na wala hakikuwa kitabu story ya ubunifu usio na akili. eti Malaika Jibril akamkwida mara tatu anamuambia soma jamaa mudy hajui kusoma na muambia njemba ya Allah sijui kusoma badala ya kumuambia nisome wapi wakati unaniambia nitamke. uongo tu jazzband maisha yaende.

And Pia prove uislam ni fake ni kuwa Wakina Allah ndio walisema ni kazi yao kuipanga Quran, 75:17 إِنَّ عَلَيْنَا جَمْعَهُۥ وَقُرْءَانَهُۥ ١٧ (Indeed, upon Us is its collection and its recitation.) lakini Uthman ndio alifanya hiyo kazi na quran zingine 6 akazichoma moto..

so Quran isiyo na makosa ya Allah itatoka lini maana bado yeye na wenzake wanaikusanya bado tuisome maana hii ya Uthman ni full vichekesho na contradiction haieleweki hata kwa waarabu wenyewe kila aya inatafsir wakati Allah alisema hii Quran imeshuka kwa kiarabu na kwa waarabu ikiwa ina full detail na inaeleweka... ''but'' ukiisoma haieleweki ukiwauliza waislam why haieleweki wanakuambia ni miracles ya Allah and mtume knows best hahahahaha

Ukisoma Quran unakuta Allah hajui kitu mbumbumbu mwarabu wa reli. bythe way alisema ukikuta kwenye Quran maneno yanayojichanganya na kupingana ujue hiyo sio Quran ya Allah, Quran 4:82 sasa Quran from page to page inajichanganya yenyewe nauliza Quran ya Allah ipo wapi?

Allah alijua mtakuja mzodoa mkipata akili so akajitoa hata aya za Shetani za Kuwabudu kwa watoto mabinti zake watatu wa Allah Al uzza,Manat na Al lat alisema sio zake ataziondoa lakini hadi leo zipo bila kusahau Hijja, Mudy allsema eti Iblis alikuja kwa sura ya Jibril.. Allah alikasirika nadhani ndio sababu ya kusema Mwamedi ndie Mtume wake wa Mwisho maana vituko vya binadamu amekoma...hahahahaha

Swaumu imetoka kwa Dini Sabians and uislam haujui why wanafunga na kwa sababu ya nini wao mbele kwa mbele tu imefikia hadi kusema eti shetani huwa anafungwa minyororo mwezi huo... According to Quran waliambiwa wafuate waliotangulia kupewa kitabu so wafunge issue inakuja waliotangulia kupewa kitabu wayahudi hawakufunga mwezi mzima and sio kufuata mwezi wa sabian ndio wanaabudu Nyota na Mwezi hata jinsi ya kuswali ndio wanafuata mwezi wa ramadhani ila wanaabudu hizo sayari so Allah nae ni Mwezi? proof zipo

Hija nazo ni ibada za kipagani so mkiambiwa mfuate waliowatangulia sasa hadi kaaba jiwe la wapagani nazo hizo ibada mnazifuata and mnajiita mnafuata Mungu wa Wayahudi hahahaha
Kwahio unataka tukufuate wewe? Na uchizi wako?

Tafadhali ndio maana nikakuwekea aya
38:29 Quran sio kwaajili ya vilaza, kwahio ulitaka Quran ishusheke yenyewe na ijifundishe yenyewe pasipo mtume kutufundisha? Mungu kataja nguzo lakini mtume katufundisha na kudadavua, Mungu kataja ibada ya sala mtume kafundsha namna sahihi ya kuswali na ulimi wa Mtume ulikua umedhibitiwa hakuongea chochote kuhusu dini ila kilikuwa perfect Allah alimfundisha kupitia Jibril,

Quran 53:3-4 Mtume hakuongea alichotamani yeye bali wahyi.

Quran sio Kwa ajili ya vilaza narudiaTena.
upangaji wa Quran ni full mathematical miongoni mwa wajumbe watukufu wa mwenyezi ambao othman r.a ni mmoja wa walio bashiriwa pepo angali hai
 
🤣 🤣 🤣

Ayatollah, alisema haya wakati aongea na wanaenda Kujihi, akauliza Swali lingine sijaweka humu "Hijja imewasaidia Nini Waislam, kama Bado hawajaungana, akatolea mfano nchi za kiislam zinapigana"
Ile Ni tourism attraction, sema wameisokota na dini. Saudia wanaloga sana hela.
 
Huu uzi wote unastahiki kufutwa kwa sababu muanzilishi hana uwezo wa kupembua kilichoandikwa.Ameleta tafsiri ya uongo.Hajui mtazamo wa waislamu kuhusu siasa.Anafikiria siasa kwa mtazamo wa Chadema na CCM
Anachosema Ayatollah ni kweli.Hakuna kuzuia siasa kwenye ibada ambayo muumba alikusudia iwe ni kwa ajili ya siasa.
Anataka Saudia wamuachie yeye aingize siasa iwapo wao hawajajua umuhimu wa ibada hiyo.
Sasa Mimi nimepotosha Nini?

Ayatollah ameuliza Swali la kitheolojia, linalolenga kuuliza Nini hasa umuhimu wa Hija kwa Waislam, Ayatollah anaona mambo yote mnayofata Mecca ni ungese tu, wote anawaona kama Mwijaku na Manara. Alienda mbali sana akasema hakuna faida kubwa zaidi ya Umoja wa Waislam, Je mnalipata Hilo mkienda Mecca?
Refer Mahujaji wawili tunaowajua Manara na Mwijaku 🤣🤣

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918962469667492032?t=iN8WOZv3h2FcnUUjAZnc7g&s=19
 
Yaani we mzigua wa Dibamba utakuwa vizuri kwenye mila za waarabu kuliko waarabu wenyewe?😁😁😁Al-Hujurat 49:13

يَآأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّا خَلَقۡنَٰكُم مِّن ذَكَرࣲ وَأُنثَىٰ وَجَعَلۡنَٰكُمۡ شُعُوبࣰا وَقَبَآئِلَ لِتَعَارَفُوٓاْۚ إِنَّ أَكۡرَمَكُمۡ عِندَ ٱللَّهِ أَتۡقَىٰكُمۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرࣱ

English - Sahih International

O mankind, indeed We have created you from male and female and made you peoples and tribes that you may know one another. Indeed, the most noble of you in the sight of Allāh is the most righteous[1] of you. Indeed, Allāh is Knowing and Aware

Sasa Endelea na ujinga wako, Quran inasema mbora wenu ni aliye mchamungu zaidi wewe unasema waarabu
 
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918962469667492032?t=iN8WOZv3h2FcnUUjAZnc7g&s=19

Spana za Ayatollah hazikuishia hapo, alikazia na Swali lingine.

"Hijja ni kwa faida ya binadamu, faida Gani?" 🤣🤣🤣🤣 Watu badala ya kujadili hoja za Msingi mnaanza kumsema Mzee wa watu

Soon wacheza porn wataanza kwenda Kuhiji Mecca

Wewe huyo hoja zake hazikusapoti kusini Wala kaskazini

Kwanza inabidi ujue yeye anaenda hija au haendi

Shida wapumbavu mmeshupalia hoja yenu ya kukataa hijjah kwa maneno yake huku yeye anaenda hijjah IRAQ

HATA kuunganisha hoja hujui
 
Back
Top Bottom