Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwahiyo Uislamu unataka nini ?Mbona unajivuruga!?
Armenia ilitawaliwa chini ya Ottoman Empire himaya ya kiislam ikiwa Armenia ni Jimbo la kikristo na likiwa na makanisa mengi.
Madai yako ya uongo kuwa uislam ulilazimisha ama unalazimisha watu kusilimu ni ya uongo.
Hata hiyo Istanbul ambayo ni Constantinople ya zamani ilipotwaliwa makanisa yaliachwa na wakristo waliabudu hadi leo.
Huwa hamkosi cha kuropoka ama kudanganya.
Hizi vurugu na mauiaji mnayo yafanya mnataka kufikia lengo gani?
Sizumgumzii Historia, nazungumzia sasa.
Mnahamu kubwa ya kuisilimisha dunia ili iwe dola la Kiislamu.
Kwa sisi tusio Waislamu mnataka tuwe dhehebu gani ili tuishi kwa amani hap duniani?
Tuwe Sunni, Shia, Ahamadiya, Ismailia, Kardian, Islamic State au Al-Qaida ?
Lengo ni kuishi kwa amani na Uislamu ndio Dini ya Haki:
Mtueleze basi mnataka tuwe Waislamu wa mlengo upi ?
Au mnataka Vurugu tu na kuuwa watu wasio na hatia ?