Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Wewe mwarabu uchwara wa Mpigamiti uwe na uekewa wa dini kumliko mwenye dini,Bure kabisa,wewe mpinge Ayatollah akiongelea mizimu ya mababu zako sio kumuongelea mudi wewe uje juu.

Dini ya kuja kwa jahazi hii inatabu sana
Wewe dogo nenda kuvute unga ulale Ayatollah angekuwa anaujua Uislam angesema Haji ni siasa wakati huwezi kuwa Muislam kama hutambui Hija ni nguzo ya tano ya Kislam. Huyo hata aibu kuongea vile hata Mashia pia watampinga kwenye hilo.
 
Ayatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.

Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji

Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Ayatollah ana hoja

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19

Alienda mbali zaidi akauliza "Hija imesaidia Nini umma wa Waislam?", na akaenda mbali zaidi akatoa mfano wa shida Kobazi wanazopitia kwenye inchi zao wakati kila mwaka wanakutana Hijja, ila hawaungani kwenye mambo ya kibinadamu
 
Waislam mnashida sana kwakweli

Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?

Maana kwenu bakwata siyo waislam

Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam

Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu

Sasa basi naomba kujua waislam ni kina nani
Hammaz Kosugi gTurn
Huyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.
Na huyo aliyekwambia BAKWATA sio waislam ana matatizo ya akili kaka.
Muislam wa kweli ni yule anayefuata nguzo za uislam ikiwemo ya kuitakidi kuwa Mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake.
Shia wanatambulika kama makafiri nyuma ya pazia 90% yao kwasababu ya sheria zao 12 za ushia haziendani na zinapingana na misingi ya uislam.
Ikiwemo itakidi yao wanasema kuwa Mungu mmoja na Ally ni mtume wa Mungu badala ya Muhammad.
Hilo linatosha kabisa kuwakufurisha mashia.

BAKWATA ni taasisi inayojinasibu kuongoza jumuiya ya waislam Tanzania.
Na hiyo taasisi inapinzana na taasisi zingine za kiislam kama BASUTA-Baraza la sunna Tanzania kwenye masuala ya kielimu mathalan muandamo wa mwezi.
Jambo ambalo hata wanazuoni wakubwa kina Malik na Shafii walikua wakikinzana na hilo ni jambo la kawaida sana.
Shida wa Tanzania tunakuendekeza misimamo isiyo na vichwa Wala miguu kwa kufata mkumbo pasi hata kuwa na elimu juu ya jambo hilo.
 
Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.

Haji inahusiano gani na alicho ongea ikiwa Mitume wa Mungu kina Ayoubu, Mussa, Yusufu, Nuhu, Ibrahim, Yesu na Muhammad walipitia mitihani kuna pepo unaenda bila kusumbukia labda pepo ya kikristo hio 😄 🤣

Mambo ya kungana walio enda Haji kwani wao ni serekali au kila mmoja anaenda kwa pesa zake kichaa tu ndio atasema Haji haina faida
 
Beira boy, duuh mara nyingi ukiona mtu anakufurisha mwenzake kirahisi huyo ndio sio muislam wa kweli maana Uislam ni shule ili ukosoe lazima uwe unajua Sasa wew unamkosoa mtu bila hoja ya kisomi wewe dio shida yenyewe, na tatizo letu waislam tunafocus Kwenye differences than common interests hapo ndio tunafeli, Yani mtu anamkosoa bakwata Kwenye mwezi TU! Anamtoa katka Uislam hangalii ni mangapi tuna share na bakwata ambayo Yako ndani ya Uislam? Vile mtu anayemkosoa anahoja zake sio kwamba yuko mtu, binafsi naona hii ni ishu ya muislam mmoja mmoja na elimu
 
Sema usishangae sana ni lifuata mke tu sio dini, kwa hivi ninavyoishi wakiniona wataniita kafiri maana hadi yule ndugu yake na kasongo nakula
Poa poa kumbuka kutubu na kurudi kwa BWANA ndugu yangu

Kuna maisha baada ya kifo utamwambia nini MUNGU badae
 
Huyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.
Na huyo aliyekwambia BAKWATA sio waislam ana matatizo ya akili kaka.
Muislam wa kweli ni yule anayefuata nguzo za uislam ikiwemo ya kuitakidi kuwa Mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake.
Shia wanatambulika kama makafiri nyuma ya pazia 90% yao kwasababu ya sheria zao 12 za ushia zinaendana na misingi ya uislam.
Ikiwemo itakidi yao wanasema kuwa Mungu mmoja na Ally ni mtume wa Mungu badala ya Muhammad.
Hilo linatosha kabisa kuwakufurisha mashia.

BAKWATA ni taasisi inayojinasibu kuongoza jumuiya ya waislam Tanzania.
Na hiyo taasisi inapinzana na taasisi zingine za kiislam kama BASUTA-Baraza la sunna Tanzania kwenye masuala ya kielimu mathalan muandamo wa mwezi.
Jambo ambalo hata wanazuoni wakubwa kina Malik na Shafii walikua wakikinzana na hilo ni jambo la kawaida sana.
Shida wa Tanzania tunakuendekeza misimamo isiyo na vichwa Wala miguu kwa kufata mkumbo pasi hata kuwa na elimu juu ya jambo hilo.
Asante sana ndugu yangu

Lakini kwanini waislam hamuelewan kabisa?
 
Ndugu nguzo za Uislam hazija tajwa zote Kwenye aya Moja lakini Kuna nguzo mbili ambazo huwa zinatajwa Kwa pamoja kutokana na ulazima wake na umuhimu Kwa waja

1. Shahada, Quran 3:18
2, sala na zaka Quran 2:43,2:110,62;9
3.zaka, Quran 2:43, ziko aya 26 zilizotaja zaka
4.swaum 2:183
5.haji 3:47

Nazimejirudia zipo nyingi na ni lazima Kwa muumini kuzishika hizo
Nilimjibu mdau mmoja hapo juu Kama ujaridhika sema niongezee nitakachojaliwa Beira Boy
 
Beira boy, duuh mara nyingi ukiona mtu anakufurisha mwenzake kirahisi huyo ndio sio muislam wa kweli maana Uislam ni shule ili ukosoe lazima uwe unajua Sasa wew unamkosoa mtu bila hoja ya kisomi wewe dio shida yenyewe, na tatizo letu waislam tunafocus Kwenye differences than common interests hapo ndio tunafeli, Yani mtu anamkosoa bakwata Kwenye mwezi TU! Anamtoa katka Uislam hangalii ni mangapi tuna share na bakwata ambayo Yako ndani ya Uislam? Vile mtu anayemkosoa anahoja zake sio kwamba yuko mtu, binafsi naona hii ni ishu ya muislam mmoja mmoja na elimu
Asante sana ndugu yangu

Makundi 72 ya uislam aliyoyataja mtume ni yapi?
 
Click link ufatilie mjadala mzima.

"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19

Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"

alafu huyo ana ugomvi wa kimadhehebu na saudia.***** ***** zote hizo hataki serikali ya saud isimamie hija kitu ambacho hakiwezekani
 
Asante sana ndugu yangu

Lakini kwanini waislam hamuelewan kabisa?
Shida kuu ni moja, elimu.
Siku hizi kila mtu shehe na kila mtu anaijua dini.
Pia mafunzo sahihi ya dini hayatolewi badala yake tunawamezesha vijana itikadi na misimamo badala ya kuwaelimisha watoto misingi na muenendo wa dini.
Na nadhani kaka unafahamu kuwa nini kinafuata ukimmezesha mtoto itikadi na misimamo.
Ataanza kuona wengine wote wanakosea na hawafai tatizo linaanza hapo.
 
Nilimjibu mdau mmoja hapo juu Kama ujaridhika sema niongezee nitakachojaliwa Beira Boy
Asante sana niliona hiyo

Ila Mimi naona mashia ndo waislam sahihi siyo hawa wasuni akina kosugi
Mihemuko mingi hakuna kitu wanachokijua
 
Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.

Haji inahusiano gani na alicho ongea ikiwa Mitume wa Mungu kina Ayoubu, Mussa, Yusufu, Nuhu, Ibrahim, Yesu na Muhammad walipitia mitihani kuna pepo unaenda bila kusumbukia labda pepo ya kikristo hio 😄 🤣

Mambo ya kungana walio enda Haji kwani wao ni serekali au kila mmoja anaenda kwa pesa zake kichaa tu ndio atasema Haji haina faida
🤣 🤣 🤣

Sema wewe... Imam Ayatollah ana hoja kubwa sana, anauliza "Hijja imewasaidia Nini Waislam?, au mnatapeliwa tu na Saudia?"
 
Shida kuu ni moja, elimu.
Siku hizi kila mtu shehe na kila mtu anaijua dini.
Pia mafunzo sahihi ya dini hayatolewi badala yake tunawamezesha vijana itikadi na misimamo badala ya kuwaelimisha watoto misingi na muenendo wa dini.
Na nadhani kaka unafahamu kuwa nini kinafuata ukimmezesha mtoto itikadi na misimamo.
Ataanza kuona wengine wote wanakosea na hawafai tatizo linaanza hapo.
Umejibu vyema sana kaka yangu

Nashukuru kwa hili jibu

Wewe angalia hata huku kwetu saiz kila mtu nabii kila mtu mtume kila mtu mchungaji
 
Huyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.
Na huyo aliyekwambia BAKWATA sio waislam ana matatizo ya akili kaka.
Muislam wa kweli ni yule anayefuata nguzo za uislam ikiwemo ya kuitakidi kuwa Mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake.
Shia wanatambulika kama makafiri nyuma ya pazia 90% yao kwasababu ya sheria zao 12 za ushia haziendani na zinapingana na misingi ya uislam.
Ikiwemo itakidi yao wanasema kuwa Mungu mmoja na Ally ni mtume wa Mungu badala ya Muhammad.
Hilo linatosha kabisa kuwakufurisha mashia.

BAKWATA ni taasisi inayojinasibu kuongoza jumuiya ya waislam Tanzania.
Na hiyo taasisi inapinzana na taasisi zingine za kiislam kama BASUTA-Baraza la sunna Tanzania kwenye masuala ya kielimu mathalan muandamo wa mwezi.
Jambo ambalo hata wanazuoni wakubwa kina Malik na Shafii walikua wakikinzana na hilo ni jambo la kawaida sana.
Shida wa Tanzania tunakuendekeza misimamo isiyo na vichwa Wala miguu kwa kufata mkumbo pasi hata kuwa na elimu juu ya jambo hilo.
Hapo Kwa mashia nakupinga ndio maana Kuna posti nimesema inabidi tufanye tafiti kwanza shia wanatambua shahada zote mbili na nguzo zote naomba uwafuatilie utagundua kitu
 
Tangu vita ya Syria, Yemen viongozi wangapi wanaopigana wameunda kwenye Hijja why hawakuonea Huruma Watu wanaokufa wakamaliza tofauti yao sababu wote wanaunganishwa na Dini Moja?
 
Back
Top Bottom