Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Hapo Kwa mashia nakupinga ndio maana Kuna posti nimesema inabidi tufanye tafiti kwanza shia wanatambua shahada zote mbili na nguzo zote naomba uwafuatilie utagundua kitu
Kaka shia wamegawanyika.
Shia ambao ndio hawakutoka nje ya mstari ni wale shia wanaopatikana Yemeni.
Katika uislam Kuna shahada inayosema "Nashuhudia ya kuwa Ally ni walii wa Mwenyezi Mungu"?
Kuna shahada ya namna hiyo kaka!?
 
Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.

Haji inahusiano gani na alicho ongea ikiwa Mitume wa Mungu kina Ayoubu, Mussa, Yusufu, Nuhu, Ibrahim, Yesu na Muhammad walipitia mitihani kuna pepo unaenda bila kusumbukia labda pepo ya kikristo hio 😄 🤣

Mambo ya kungana walio enda Haji kwani wao ni serekali au kila mmoja anaenda kwa pesa zake kichaa tu ndio atasema Haji haina faida
Kwamba wewe Mndali wa Kilwa Kipatimo unaujua uislam kuliko mwarabu?😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Kaka shia wamegawanyika.
Shia ambao ndio hawakutoka nje ya mstari ni wale shia wanaopatikana Yemeni.
Katika uislam Kuna shahada inayosema "Nashuhudia ya kuwa Ally ni walii wa Mwenyezi Mungu"?
Kuna shahada ya namna hiyo kaka!?
Al Hassan mwana wa al yule aliyenyonywa ulimi na kulambwa mdomo na mudsy ndio huyo? Je maselafi au wahabi utanikosea kama nimekosea sijui ndo ni akina nani?
 
Al Hassan mwana wa al yule aliyenyonywa ulimi na kulambwa mdomo na mudsy ndio huyo? Je maselafi au wahabi utanikosea kama nimekosea sijui ndo ni akina nani?
Hiyo kauli ya kunyonywa ulimi ni uzushi na uongo.
Halijawahi kufanyika na halikubaliki katika uislam.
Ally huyo ni ndugu wa mtume ambaye ni baba wa Hassan na Hussein.
 
Kaka shia wamegawanyika.
Shia ambao ndio hawakutoka nje ya mstari ni wale shia wanaopatikana Yemeni.
Katika uislam Kuna shahada inayosema "Nashuhudia ya kuwa Ally ni walii wa Mwenyezi Mungu"?
Kuna shahada ya namna hiyo kaka!?
Sasa Kama wamegawanyika hatuwezi kutoa conclusion kwamba wote ni makafiri jua kuwa Kuna waislam ambao ni sunni na wao ni makafiri vilevile hivyo ukafiri sometimes ni ishu ya kiimani zaidi kam vitendo huvioni ni ngumu kumkonclude mtu Kama kafiri au laa
Hivi unajua Kuna baadhi ya pure wakristo ni waislam kutokana na itikadi zao? Mathalani mkristo anae amini Mungu mmoja na Yesu si Mungu huyo anafit kabisa katka hukumu ya Uislam na atahesabiwa hivyo Hata wakristo tujiepusha kuwakufurisha Kwa sababu Uislam sio huu tuu alikuja nao Muhammad umeanzia mbali
 
Ukute Ayatollah anajiandaa kuwatuma Yemen walipue Mecca
 
Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?
Uislamu wa kweli ni kujisalimisha kwa moyo wote, kwa dhati, kwa Mwenyezi Mungu kwa njia aliyoiamrisha kupitia kwa Mtume wake Muhammad rehma na amani ziwe juu yake kwa kufuata.
mwisilam wa kweli ni Nan?
Muislamu wa kweli ni mja mtiifu kwa Allah kwa dhati ya moyo, anayefuata Sunnah, anayetenda mema, mwenye tabia njema, na anayejitakasa kiroho na kimatendo.
Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam
Mtume ametupatia onyo kali sana kumhukumu muislamu mwenzako kuwa ni kafiri.

Hivyo, miongoni mwa masheikh zetu wakatuambia: "Huenda mtu akakosea kwa kauli, lakini moyo wake upo pamoja na Allah. Je, sisi tuna uwezo wa hilo?

Hitimisho: Kumhukumu mtu kuwa kafiri ni jambo zito sana katika uislamu, na limewekewa masharti magumu na tahadhari kubwa.
Maana kwenu bakwata siyo waislam
Tafsiri iwekwe sawa ndugu mtanzania: Bakwata ni chombo cha kiislamu lakini hakikuanzishwa kwa ajili ya waislamu, bali nia na madhumuni ni kuwadhibiti waislamu.
Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu
Si kila kauli ina maana kama ilivyodhihirishwa. Kuna kauli nyengine zinabeba maana. Ikitamkwa Dubai si waislamu ina maanisha ya kuwa; Dubai haifuati sheria za kiislamu.
 
Sasa Kama wamegawanyika hatuwezi kutoa conclusion kwamba wote ni makafiri jua kuwa Kuna waislam ambao ni sunni na wao ni makafiri vilevile hivyo ukafiri sometimes ni ishu ya kiimani zaidi kam vitendo huvioni ni ngumu kumkonclude mtu Kama kafiri au laa
Hivi unajua Kuna baadhi ya pure wakristo ni waislam kutokana na itikadi zao? Mathalani mkristo anae amini Mungu mmoja na Yesu si Mungu huyo anafit kabisa katka hukumu ya Uislam na atahesabiwa hivyo Hata wakristo tujiepusha kuwakufurisha Kwa sababu Uislam sio huu tuu alikuja nao Muhammad umeanzia mbali
Ndio maana mkuu nikasema 90% ya shia ambao wana practice ithnaa ashara sharia.
Sijasema shia wote 100% hapana.
 
Uislamu wa kweli ni kujisalimisha kwa moyo wote, kwa dhati, kwa Mwenyezi Mungu kwa njia aliyoiamrisha kupitia kwa Mtume wake Muhammad rehma na amani ziwe juu yake kwa kufuata.

Muislamu wa kweli ni mja mtiifu kwa Allah kwa dhati ya moyo, anayefuata Sunnah, anayetenda mema, mwenye tabia njema, na anayejitakasa kiroho na kimatendo.

Mtume ametupatia onyo kali sana kumhukumu muislamu mwenzako kuwa ni kafiri.

Hivyo, miongoni mwa masheikh zetu wakatuambia: "Huenda mtu akakosea kwa kauli, lakini moyo wake upo pamoja na Allah. Je, sisi tuna uwezo wa
hilo?

Hitimisho: Kumhukumu mtu kuwa kafiri ni jambo zito sana katika uislamu, na limewekewa masharti magumu na tahadhari kubwa.

Tafsiri iwekwe sawa ndugu mtanzania: Bakwata ni chombo cha kiislamu lakini hakikuanzishwa kwa ajili ya waislamu, bali nia na madhumuni ni kuwadhibiti waislamu.

Si kila kauli ina maana kama ilivyodhihirishwa. Kuna kauli nyengine zinabeba maana. Ikitamkwa Dubai si waislamu ina maanisha ya kuwa; Dubai haifuati sheria za kiislamu.
Assalam aleykum kaka.
 

View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407

Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.

Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili


View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19

Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.

Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam

Toka lini MASHIA wamekuwa WAISLAM?
Wao Wahijj Kufa [karbala ] Iraq. Theologia yao ni tofauti na theologia ya Sunnism,

Kusema hayo Ayattoh is not a news anyway
 
Aliuliza je "Hijja imewasaidia Nini Waislam?"

Hijja ni takwa la Hiari, Msingi wake mkubwa ni Siasa...
Kama hawana umoja,ambao unasisitizwa kwa swala za kila siku(kupanga safu),swala ya ijumaa,hijjah..basi ni kweli havijawasaidia, huwezi ondoa siasa kwenye uislam
 
Waumini wa hii Dini ya Haki, wangekuwa peke yao wangechinjana hadi wote waishe:

Halafu wanataka kuiongoza Dunia nzima Eti ifuate Sharia Laws.

Salman Rushdie alisha sema kila kitu na hawataki hata kuongea nae ili wamwelimishe alipo kosea:

Rushdie yuko sahihi kwa 100% that it is a Satanic:
 
Tusameheane ndugu yangu, ishtighali kwa kiasi zimeniandama.

Nilikuwa Dodoma, kisha nikawa Morogoro, kisha nikarudi Dar, kisha nikaenda Singida, kisha nikaenda Njombe.
Aisee mbona umetembea sana!?
 
Waumini wa hii Dini ya Haki, wangekuwa peke yao wangechinjana hadi wote waishe:

Halafu wanataka kuiongoza Dunia nzima Eti ifuate Sharia Laws.

Salman Rushdie alisha sema kila kitu na hawataki hata kuongea nae ili wamwelimishe alipo kosea:

Rushdie yuko sahihi kwa 100% that it is a Satanic:
Himaya ya Ottoman ilikua ni ya kiislam na ilitawala kihaki pande zote.
Mbona huzungumzii dini yenu ilivyomwaga damu hadi za wenyewe kwa wenyewe kipindi cha Roman Catholic kwa vita za crusade!?
 
Elimu yako ndogo sana , umeshindwa kuelewa intended meaning kwenye huo ujumbe na kurelate na yanayoendelea sasa.

Kweli kunyimwa akili ni umasikini mbaya na zaidi umeioamba habari kiudaku na wengine wasio elewa wanafuata mkumbo . Anyway hata akisema sio ajabu hivyo hao ni Mashia Wana kufuru kubwa sana na ni maadui wa Uislamu.
Naona Ayatollah akili imemrejea.
 
Back
Top Bottom