Ayedhaniwa kuwa ni toto wa Rais Magufuli achezea Fedha Snapchat

Kwenye Clip inaonekana picha ya mwanaume akiwa na mschana,

Halafu yanapita magari

Halafu inaonekana picha ya mwanaume (passport size)

Halafu mikono ya mtu inahesabu hela....

.
Ndipo huyo Mange sijui anatengeneza story zake na anaziweka hapo na watu inawatouch kabisa ,wanaamini maneno yake na ushahidi wa clip kama hiyo.


Sijui akili zingine zikoje
 


Mama polepole punguza asira.


Swissme
 
Reactions: PNC
Hahaha duuh
 
Mange sio rais lakini
 
Mnatupotezea muda kusoma ujinga. Kama huna cha kuandika kaa kimya
 
Hili bomu tulilo ahidiwa na mange?? Huyu dada ameisha waona watz mazwazwa..
 
Wewe ndo wa kushtaki. Natamani ushtakiwe uthibitishe huko mahakamani
 
Hizo pesa za wanyonge baba yake anatuibia anaenda kutumbua na familia yake

Hapo mbona kawaida sana,huwa wanafanya israfu sana hasa yule Jesca huwa anafanya kufuru ya pesa mpaka ukitazama roho inauma.
 
Ficha ujinga wako.
 
Nyumbu mnashida sana daaa hivi hmuwezi hata kuona kuwa hiyo video ni ya kutengeneza? lakini hata kama kazichezea kwani hizo hela si za kwake?
hahaha Mmmeshindwa Magufuli sasa mmeamia kwa watoto wake mkimaliza Clifford...sijui mtaenda kwa nani hahahaha
Lakini si Mange Kasema?
 
Mbona haina hata chembe ya uhalisia sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…