Ayedhaniwa kuwa ni toto wa Rais Magufuli achezea Fedha Snapchat

Kwenye Clip inaonekana picha ya mwanaume akiwa na mschana,

Halafu yanapita magari

Halafu inaonekana picha ya mwanaume (passport size)

Halafu mikono ya mtu inahesabu hela....

.
Ndipo huyo Mange sijui anatengeneza story zake na anaziweka hapo na watu inawatouch kabisa ,wanaamini maneno yake na ushahidi wa clip kama hiyo.

Sijui akili zingine zikoje
 
Hii inaonyesha mange na wafuasi wake wana IQ ndogo

Mbona Mimi napost mitandaoni pesa na kitanda changu kimejaa pesa na baba yangu hanichapi

a8f89e9ec373e9819b93439dc8d76bd2.jpg

Halafu kingine kama mtoto wa magu ni Malaya kisa kupost picha za mademu zake na pesa mbona mange naye anapost picha ya tuhela za mabwana zake baada ya kuvuliwa pichu na sie hatuhoji

9ef045760818b3e857ff1d9aa5facbfb.jpg

He he mbona tuhela na picha zake za uchi hatuhoji

c0daa8bb880ff094dc3a35a18fd80dfa.jpg

Sasa nani Malaya

He he

Mama polepole punguza asira.

Swissme
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii inaonyesha mange na wafuasi wake wana IQ ndogo

Mbona Mimi napost mitandaoni pesa na kitanda changu kimejaa pesa na baba yangu hanichapi

a8f89e9ec373e9819b93439dc8d76bd2.jpg

Halafu kingine kama mtoto wa magu ni Malaya kisa kupost picha za mademu zake na pesa mbona mange naye anapost picha ya tuhela za mabwana zake baada ya kuvuliwa pichu na sie hatuhoji

9ef045760818b3e857ff1d9aa5facbfb.jpg

He he mbona tuhela na picha zake za uchi hatuhoji

c0daa8bb880ff094dc3a35a18fd80dfa.jpg

Sasa nani Malaya

He he
Hahaha duuh
 
Mange sio rais lakini
 
Mangekimambi: Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... Nyambaf babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye sakafu???

Jamani huyu ni mtoto wa kiume wa Magu anaeishi Ikulu kabisa anaitwa Clifford Magufuli. Snapchat anatumia Clifford JPM Ila kablock mtu huwezi hata kumsearch. Yani kawa add only his close friends. Hata hii video imebidi irekodiwe kwa simu ingine ili asijue nani karekodi au kachukua screenshot....ila bahati nzuri one of us close friends is also my informer ndo kanipa video sasa Hivi. Yani Hapa tunavyooongea hizi video bado zippo snapchat

Leo Clifford atachezea kichapo cha babake, nahisi atakabidhiwa kwa Uncle Bashite Maliyamungu akateswe kidogo kwa kosa la kuwaonyesha Tanzania the real luxury life style ya Magufuli and his family na sio ile ya kutunganyia watanzania na kubana matumizi!

Nyambaf Eti pesa imepotea sababu mlizoea kuchezea. Mbona mwanae bado anachezea pesa kama kawa?? Alafu kijana malaya wa kutupa kama babake, Unaambiwa huko snap kutwa kuposti mipaja ya wanawake anawamwagia pesa mwilini.

Mnatupotezea muda kusoma ujinga. Kama huna cha kuandika kaa kimya
 
Hili bomu tulilo ahidiwa na mange?? Huyu dada ameisha waona watz mazwazwa..
 
Wewe ndo wa kushtaki. Natamani ushtakiwe uthibitishe huko mahakamani
 
Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... Nyambaf babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye sakafu???

Jamani huyu ni mtoto wa kiume wa Magu anaeishi Ikulu kabisa anaitwa Clifford Magufuli. Snapchat anatumia Clifford JPM Ila kablock mtu huwezi hata kumsearch. Yani kawa add only his close friends. Hata hii video imebidi irekodiwe kwa simu ingine ili asijue nani karekodi au kachukua screenshot....ila bahati nzuri one of us close friends is also my informer ndo kanipa video sasa Hivi. Yani Hapa tunavyooongea hizi video bado zippo snapchat

Leo Clifford atachezea kichapo cha babake, nahisi atakabidhiwa kwa Uncle Bashite Maliyamungu akateswe kidogo kwa kosa la kuwaonyesha Tanzania the real luxury life style ya Magufuli and his family na sio ile ya kutunganyia watanzania na kubana matumizi!

Nyambaf Eti pesa imepotea sababu mlizoea kuchezea. Mbona mwanae bado anachezea pesa kama kawa?? Alafu kijana malaya wa kutupa kama babake, Unaambiwa huko snap kutwa kuposti mipaja ya wanawake anawamwagia pesa mwilini.

Hizo pesa za wanyonge baba yake anatuibia anaenda kutumbua na familia yake

Hapo mbona kawaida sana,huwa wanafanya israfu sana hasa yule Jesca huwa anafanya kufuru ya pesa mpaka ukitazama roho inauma.
 
Hii inaonyesha mange na wafuasi wake wana IQ ndogo

Mbona Mimi napost mitandaoni pesa na kitanda changu kimejaa pesa na baba yangu hanichapi

a8f89e9ec373e9819b93439dc8d76bd2.jpg

Halafu kingine kama mtoto wa magu ni Malaya kisa kupost picha za mademu zake na pesa mbona mange naye anapost picha ya tuhela za mabwana zake baada ya kuvuliwa pichu na sie hatuhoji

9ef045760818b3e857ff1d9aa5facbfb.jpg

He he mbona tuhela na picha zake za uchi hatuhoji

c0daa8bb880ff094dc3a35a18fd80dfa.jpg

Sasa nani Malaya

He he
Ficha ujinga wako.
 
Nyumbu mnashida sana daaa hivi hmuwezi hata kuona kuwa hiyo video ni ya kutengeneza? lakini hata kama kazichezea kwani hizo hela si za kwake?
hahaha Mmmeshindwa Magufuli sasa mmeamia kwa watoto wake mkimaliza Clifford...sijui mtaenda kwa nani hahahaha
Lakini si Mange Kasema?
 
Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... Nyambaf babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye sakafu???

Jamani huyu ni mtoto wa kiume wa Magu anaeishi Ikulu kabisa anaitwa Clifford Magufuli. Snapchat anatumia Clifford JPM Ila kablock mtu huwezi hata kumsearch. Yani kawa add only his close friends. Hata hii video imebidi irekodiwe kwa simu ingine ili asijue nani karekodi au kachukua screenshot....ila bahati nzuri one of us close friends is also my informer ndo kanipa video sasa Hivi. Yani Hapa tunavyooongea hizi video bado zippo snapchat

Leo Clifford atachezea kichapo cha babake, nahisi atakabidhiwa kwa Uncle Bashite Maliyamungu akateswe kidogo kwa kosa la kuwaonyesha Tanzania the real luxury life style ya Magufuli and his family na sio ile ya kutunganyia watanzania na kubana matumizi!

Nyambaf Eti pesa imepotea sababu mlizoea kuchezea. Mbona mwanae bado anachezea pesa kama kawa?? Alafu kijana malaya wa kutupa kama babake, Unaambiwa huko snap kutwa kuposti mipaja ya wanawake anawamwagia pesa mwilini.

Mbona haina hata chembe ya uhalisia sasa?
 
Back
Top Bottom