To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Good idea"Watafute wahariri wazuri wakuchuja habari zao"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good idea"Watafute wahariri wazuri wakuchuja habari zao"
Kama habari za Lucas mwashambwa zihaririwe kabla hajapost upupu hapa"Watafute wahariri wazuri wakuchuja habari zao"
Fesibuku ni chombo cha habari?Kwani malalamiko, masimango, kukaguana, wauza magari, kausha damu, singo maza, mashoga etc haviwezi kuwa habari?
Ndiyo maana yake, yaani iwe TBC 2 fm.Hii sentensi, nilichoelewa, alichomaanisha ni kuondoa habari yoyote inayoishambulia serikali..!!
Kumbe mwamba ni team KATAA NDOA! Big up sana ila kazingua kuwa CCM.Akaoe kwanza ndipo aje aongee mbele za wanaume...🤨
Na sikuhizi kumekuwa na mtindo wa kufuta mada zote zenye kukosoa serikali, hii jamiiforum ya miaka hii sio Ile ya zamaniHii sentensi, nilichoelewa, alichomaanisha ni kuondoa habari yoyote inayoishambulia serikali..!!
TBC na TCRA nani mfafanuzi sasa.
Sema unaweka bandiko linalofurahisha mods, ukizingua wanafuta baadhi ya paragraph au kubali maana kabisa au kufuta uzi wenyewe,Huyo mzee ameshindwa kufahamu Jamii Forums ni tofauti kabisa na traditional news websites au publication?
Ndiyo maana amesema "Jamii Forum" badala ya Jamii Forums.
JF ni mtandao wa kijamii kwasababu hapa JF wanachama ndiyo wenye kuweka mabandiko kuhusu mada au habari yoyote ile muhimu iwe ndani ya sheria za JF.
Ajibu swali, je ninaweza sajili akaunti kwenye mtandao wa TBC kwa jina la kificho au halisi na kuweka mabandiko na kuchangia mada na wanachama wengine?
Aache mikwara.
Hawa wazee sometime wana vichwa vigumu kama jiwe.
Nakubaliana na wewe JF wanamapungufu.Sema unaweka bandiko linalofurahisha mods, ukizingua wanafuta baadhi ya paragraph au kubali maana kabisa au kufuta uzi wenyewe,
Sasa hizo ndio sifa za chombo cha habari, JF wajithamini sanaaaa, wanafanya kazi kama Millard Ayo tu, hawana utofauti, hawauboreshi mtandao wao kwa speed inayotakiwa,
Ndio mana nilikuwa na ndoto za kuimiliki hii website
Unamsikia eti ha yu ni Dr., expected of higher level thinking! JF ina tofauti gani na facebook, Tweeter (X), Instagram etc etc.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana.
Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma iliyowasilishwa na Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo aliyesema JamiiForums sio chombo cha Habari bali ni Jukwaa la mtandao.
"Jamii Forum tusipepese macho ni chombo cha Habari kama vyombo vingine na sio Jukwaa tu kama tunavyoambiwa, kitu cha kuwashauri watafute wahariri wazuri wa kuhariri habari zao." amesema Dkt. Rioba
Ayoub aje ajibu hiliFesibuku ni chombo cha habari?
kabisaaaHii sentensi, nilichoelewa, alichomaanisha ni kuondoa habari yoyote inayoishambulia serikali..!!
...Ina maana amepingana na Mfanyakazi wake Mtoa nada, ama Mtoa Nada Sio wa TBC ???Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana.
Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma iliyowasilishwa na Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo aliyesema JamiiForums sio chombo cha Habari bali ni Jukwaa la mtandao.
“Jamii Forum tusipepese macho ni chombo cha Habari kama vyombo vingine na sio Jukwaa tu kama tunavyoambiwa, kitu cha kuwashauri watafute wahariri wazuri wa kuhariri habari zao.” amesema Dkt. Rioba.
==
Pia soma:
Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini