Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema.
Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa jembe la mkono wa Mahindi kutoka Songwe anapewa kesi ya uongo ya Uhujumu uchumi kwa sababu ya siasa ! Halafu watu wanataka vikao na IGP ili iweje ?
Siku ya leo Ayubu anatimiza siku 378 jela kwa kesi ya kutengenezwa maabara isiyo na ukweli wowote .
Katika Qoran Tukufu imeandikwa hivi , nanukuu " MWENYEZI MUNGU YUKO PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI " Mwisho wa kunukuu