Wangempeleka mahakamaniKm alifanya makosa sina cha kusema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangempeleka mahakamaniKm alifanya makosa sina cha kusema
Aaamen[emoji1545]Tunaendelea kumlilia Mungu mwenye Haki
Nitatetea watu wanao onewa.Kama human mamma ya kumsaidia angalao tuchukie uonevu na manyanyaso kwa wengine,kwa ubambikiaji na uonevu kwenye siasa zisizo zingatia haki na sheria
Laana ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote , AminaNitatetea watu wanao onewa.
Ila sina muda wa kutetea nyumbu wanaopimama ubavu kwa starehe zao.
Kama unaambiwa usifanye jambo fulani halafu wewe ukasema sikubali ni lazima nifanye, maana yake umeona unaweza kupambana.
Sasa umepigwa unatafuta huruma utafikiri sisi ndio tulikuta.
gaidi et alNitatetea watu wanao onewa.
Ila sina muda wa kutetea nyumbu wanaopimama ubavu kwa starehe zao.
Kama unaambiwa usifanye jambo fulani halafu wewe ukasema sikubali ni lazima nifanye, maana yake umeona unaweza kupambana.
Sasa umepigwa unatafuta huruma utafikiri sisi ndio tulikuta.
Nipe siri basi wewe umetajirikaje ili na mimi nikatajirike.Umasikini si jambo la kujivunia hata chembe
ameshalaniwa hizo sio akili za mtu mwenye barakaLaana ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote , Amina
Bahati nzuri wewe siyo Mungu. Hiyo LAANA ianzie kwenye ukoo wako mpaka kizazi cha SITALaana ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote , Amina
Yetu machoRais Samia tunakuomba umwagize DPP amwachie huyu kiumbe wa Mungu. Nimemaliza.
Na masikio piaYetu macho
Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema.
Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa jembe la mkono wa Mahindi kutoka Songwe anapewa kesi ya uongo ya Uhujumu uchumi kwa sababu ya siasa ! Halafu watu wanataka vikao na IGP ili iweje ?
Siku ya leo Ayubu anatimiza siku 378 jela kwa kesi ya kutengenezwa maabara isiyo na ukweli wowote .
Katika Qoran Tukufu imeandikwa hivi , nanukuu " MWENYEZI MUNGU YUKO PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI " Mwisho wa kunukuu
View attachment 1929175
Katika Qoran Tukufu imeandikwa hivi , nanukuu " MWENYEZI MUNGU YUKO PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI " Mwisho wa kunukuu
umeishia darasa la ngapi ?Kama Quran Takatifu inasema tunapaswa kuvuta subira kwa nini unalalamika na kuhesabu siku?
Watu wetu wa upinzani wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Wewe hutakiwi kuionyesha serikali kwamba kusubiri ni poa, au jela ni poa, au mateso yanavumilika.
Don’t be ridiculous!
Mimi nilikwamia mtihani wa Form II. Sijui wewe mwenzangu.umeishia darasa la ngapi ?
Akikujibu nitagSasa tufanyeje mkuu. Maana hiyo mi ajali kazini.
Angekuwa anafanya kazi ya kujitolea labda, mtu alikuwa kazini anapambania ugali wake na familia yake wewe unataka sisi tushindwe kunywa maji kwasababu yake.