Azam acheni kuwapa wachezaji majina ya uongo

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita.

Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama.

Imekuwa kama ni kawaida watangazaji wa Azam kuwapachika majina ya utani "Nick names" wachezaji hasa wa Simba au Yanga lakini baada wakihama huacha kuwaifa hivyo.

Siyo lazima kila mchezaji awe na nick name. Maana Sasa imekuwa kama ni mashindano kuwatungia majina ya utani wachezaji wa timu hizo.

Mnazingua. Acheni hizo mambo.
 
Unakoelekea..!! Sijui..!!

 
Simba waangaliwe kwa umakini maana wanaweweseka wanataka wamlaumu refa ila wakikumbuka Kawabeba Chuma nne wanaishia kusema "hatuna Cha kuwadai"
Kutoka magoli 8 mliyosema mtawafunga simba hadi kulilia magoli ya Offside ? Taratibu moto umeanza kukata na kosi lenu la vibabu.
Jiandaeni kwa kipigo mechi zote za ligi kuu vijana wa Lunyasi wakishapata muunganiko mzuri.
 
AZAM WANA MAJINA YA KIHUNI:-
Kada
Nado
na makolokolo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…