Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita.
Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama.
Imekuwa kama ni kawaida watangazaji wa Azam kuwapachika majina ya utani "Nick names" wachezaji hasa wa Simba au Yanga lakini baada wakihama huacha kuwaifa hivyo.
Siyo lazima kila mchezaji awe na nick name. Maana Sasa imekuwa kama ni mashindano kuwatungia majina ya utani wachezaji wa timu hizo.
Mnazingua. Acheni hizo mambo.