Azam anapita njia ngumu CAFCL, atatoka hatua ya awali

Azam anapita njia ngumu CAFCL, atatoka hatua ya awali

Hao ni mabingwa wakujisahaulisha na kuichukulia poa Yanga, Yanga imecheza na Al Ahly, Belouizdad na Mamelodi hizo zote ni timu zilizopo juu kwenye rank zaidi hao Pyramids na APR
Ongeaza na my wetu anaejifanya giant tumejipigia mpka ametukinahi
 
Hao Pyramids walishacheza na Azam wakawatoa kwa ushindi mwembamba hawakuwa na soka la kutisha,kinachokosekana kwa Azam ni hamasa ya mashabiki ,ari ya upambananaji,pamoja naamini azam akijipanga vizuri anaweza kutoboa makundi maana pyramids wenyewe ni kama Azam kwenye CAFCL hawana historia yeyote bado wachanga sema mpunga tu ndio tishio.
 
Ili upige hatua moja kwenda nyingine lazima upitie changamoto.
Azam yupo kwenye njia sahihi Sana. Ili team ipige hatua lazima icheze na vilabu kama hovyo unless Azam iwe team ya kuzikamia Simba na Yanga pekee!!
 
Ngoja wapigwe viboko sababu wanapenda kujilinganisha na mabingwa wa kihistoria eti mzizima derby na wakisifiwa wanajifanya vichwa ngumu .
 
Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua

Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.

Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni wachezaji wazuri mno,

Azam wanaanzia nyumba ambapo hawana nguvu ya mashabiki hapo ARR watakuwa comfortable kupiga kandanda, na baadae wanatenda kumalizana Rwanda hapa Azam wanatoboa vipI?

Wakitoka hapo wanatenda kukutana na Pyramid matajiri wa Misri team ya Mayele, hapo ndo ya makundi wataisikia kwenye redio

Azam nawapa pole mapema
Ukweli mchungu huu.
 
Back
Top Bottom