Mpwimbe
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 455
- 818
Yanga amepita njia hii pia.Nilitamani Utopolo ipitie njia hii
Mwaka jana hatuaza awali alikutana na Al merreikh, wakati mwaka juzi alitolewa na ndugu yao Al hilal.
Check makundi, Yanga alikutana na vigongo kwenye kundi CR belouzdad na Al hilal na wanafuzu 02.
Kinachosaidia Yanga kwasasa ni kuvuna points shirikisho.
Kinachosaidia Simba ni kuvuna points nyingi kwa vitimu vya De agosto, horoya, Villa etc
Azam hawana point hata moja CAF wanazidiwa na Namungo Wana point moja.
mwaka jana, Azam wametolewa na kitimu cha Ethiopia shirikisho kwa ujinga tu, wakati walipaswa wavune points shirikisho ili wakae vizuri.
kanuni za CAF usipokuwa na points unakutana vigogo maana unaonekana kibonde