Club sport villa ya Uganda, au timu ya kutoka Ethiopia. (Jina nimelisahau). Na dalili inaonesha atakutana na hiyo timu ya Ethiopia. Maana hiyo Villa imefungwa nyumbani kwenye mechi ya awali.Hivi Yanga akiwatoa Vitalo, atakutana na nani?
Yule dogo uwaga anatia aibi sana .Muda wote inechomoza sasa sijui shida ni nini!
Yanga afungwe na APR au PYRAMID?? You must be Insane...Nilitamani Utopolo ipitie njia hii
Wamemaliza wapili ligi kuu Egypt.Hahahahaha we Pyramid sio watu wazuri ,sasa hv wako moto
Itakua anadolishia tuYule dogo uwaga anatia aibi sana .Muda wote inechomoza sasa sijui shida ni nini!
Hao ni mabingwa wakujisahaulisha na kuichukulia poa Yanga, Yanga imecheza na Al Ahly, Belouizdad na Mamelodi hizo zote ni timu zilizopo juu kwenye rank zaidi hao Pyramids na APRYanga afungwe na APR au PYRAMID?? You must be Insane...
Hawa wanaweza kujivunja round ya kwanza kulinda heshima ya kenyaGor Mahia ndio wana hali ngumu zaidi.
Wakitoka 1st round 2nd wanakutana na Al ahly
HahahahahaWamemaliza wapili ligi kuu Egypt.
Halafu kuna mtu anasema hawako vizuri. 🤣🤣
CBE ya EthiopiaHivi Yanga akiwatoa Vitalo, atakutana na nani?
Ongeaza na my wetu anaejifanya giant tumejipigia mpka ametukinahiHao ni mabingwa wakujisahaulisha na kuichukulia poa Yanga, Yanga imecheza na Al Ahly, Belouizdad na Mamelodi hizo zote ni timu zilizopo juu kwenye rank zaidi hao Pyramids na APR
Hamna timu mule, warudi tu wapambane na kina pambaLeo coastal kaliwa chuma tatu kwa bure. Mwisho wa safari huo.
Ukweli mchungu huu.Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.
Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni wachezaji wazuri mno,
Azam wanaanzia nyumba ambapo hawana nguvu ya mashabiki hapo ARR watakuwa comfortable kupiga kandanda, na baadae wanatenda kumalizana Rwanda hapa Azam wanatoboa vipI?
Wakitoka hapo wanatenda kukutana na Pyramid matajiri wa Misri team ya Mayele, hapo ndo ya makundi wataisikia kwenye redio
Azam nawapa pole mapema