Azam anapita njia ngumu CAFCL, atatoka hatua ya awali

Nilitamani Utopolo ipitie njia hii
Yanga amepita njia hii pia.

Mwaka jana hatuaza awali alikutana na Al merreikh, wakati mwaka juzi alitolewa na ndugu yao Al hilal.

Check makundi, Yanga alikutana na vigongo kwenye kundi CR belouzdad na Al hilal na wanafuzu 02.

Kinachosaidia Yanga kwasasa ni kuvuna points shirikisho.

Kinachosaidia Simba ni kuvuna points nyingi kwa vitimu vya De agosto, horoya, Villa etc

Azam hawana point hata moja CAF wanazidiwa na Namungo Wana point moja.

mwaka jana, Azam wametolewa na kitimu cha Ethiopia shirikisho kwa ujinga tu, wakati walipaswa wavune points shirikisho ili wakae vizuri.

kanuni za CAF usipokuwa na points unakutana vigogo maana unaonekana kibonde
 
Kama wachezaji wa Tabora United, wachezaji hawana stamina kabisa, wanaangukaanguka tu uwanjani
 
Jana walipaswa kujipigia za kutosha APR..naona kule Kigali Azam akipigwa ndoige .....huku wakiwa wanashangaa watoto wa kinyarwanda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…